Niulize chochote kuhusu Bukoba

Niulize chochote kuhusu Bukoba

ukitaka kwenda kampala kutokea dar ipi rahisi?na ukitokea BK
alafu kutoka dar hadi bk bei gan kwa bus na unatumia sku ngap
 
Ndizi round about Bukoba
FB_IMG_15607854907192734.jpeg
 
ukitaka kwenda kampala kutokea dar ipi rahisi?na ukitokea BK
alafu kutoka dar hadi bk bei gan kwa bus na unatumia sku ngap
Ukitoka saa 12 asubuhi dar to Bukoba utafika saa 6 mchana kesho yake utachukua gari saa 12 jioni hupo Kampala hila kuna gari kutoka dar to Kampala via Bukoba..nauli ya dar to Bukoba inategemeana na bus kuna_
65elfu
60elfu kwa 50 elfu unapata pia_
Bukoba to Kampala 20 elfu mpaka 25elfu
 
unapafahamu muleba (misikilo) au kabagunda, kishoju, gwanseli, ilemela, katunguru, katelelo, au kashai + nyanshenye + kimwani
 
unapafahamu muleba (misikilo) au kabagunda, kishoju, gwanseli, ilemela, katunguru, katelelo, au kashai + nyanshenye + kimwani
Naifahamu Bukoba mjini kidogo Kemondo kanazi rwagati kanyinya na misenyi bunazi mpaka mutukula
 
Naifahamu Bukoba mjini kidogo Kemondo kanazi rwagati kanyinya na misenyi bunazi mpaka mutukula
uko sipafaham mi mvuvi flani ambae nmetembelea ziwa victoria tangu niko darasa la tatu mwaka 2007 nmevua mpaka 2013 baada ya kuamishwa shule form two saivi nkp dar ila naogelea mpaka samaki wanaona taabu, nmevua kila aina ya uvuvi unaoujua usiombe kulala majini umo mdo nyumbani na nina mpango baada ya chup nkavue vizuri
 
Back
Top Bottom