Niulize chochote kuhusiana na biashara ya duka la jumla

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
3,876
2,000
Hii biashara unafanyia mkoa gani? Maana kwa hapa Dar hakuna tomato inayofua dafu kwa Red Gold na ndio inatumika sehemu nyingi. Na dukani ili ufanye biashara basi lazima uweke bidhaa inayopendwa na watu na siyo unayoipenda wewe
Tanga huku Toptang, Ivori ndo zinatumika Sana
 

kiboboso

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
7,018
2,000
Ila white wash siku hizi zimeadimika sijui kwa nini
Kweli asee, now tunapambana na hizi hapa
JPEG_20210604_120050_8792003790173950386.jpg
 

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
3,876
2,000
How to brand wholesale shop


Simple
IMG_20210604_210218_2.jpg


Hi ni demo to sio duka


Mteja akija dukani akiona fashion ya shellf zako jinsi unavyoweka anaelewa hili ni duka la jumla
 

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
3,876
2,000
Tanga huko bei lazima iwe tofauti na Dsm mkuu kwa Dsm faida yake ni ndogo sana kutokana na ushindani.
Naelewa biashara ya wholesale kwa Dsm Shop ziko nyingi lazima watu waxhindane kwenye punguzo la Bei ili wavutee wateja


Kwa Tanga nime- experience maduka machache then mahitaji makubwa ya watu katika bidhaa


Then wafanya-biashara wa Tanga Mitajii ndo tatizo kwaoo so ukifungua Shop, competitio usually
 

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Wauzaji wa hivyo vifaa wanaofahamika kwa Kariakoo,
Ni kama akina Othman na Awale,
Bei wanazouzia wao hazikidhi kununua bulk ya kuja kuuza kwa jumla mkuu, nadhani wao sio agents.

Kama una Mawasiliano ya agents wa madaftari,
Tuwekee hapa Kama ulivyofanya kwa bidhaa zingine.
Kweli usemalo nshafika kwa awale aisee Bei wanazouza hazikidhi kununua bulk nakwenda uza jumla
 

Iringakwanza

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
670
1,000
Moja kwa moja twende kwenye mada

Kama unamalemgo yakufua biashara ya duka hii jumla achana na haya maduka ya mtaania ya Mangi nazungumzia biashara ya jumla mfano pipi, Tambi, Unga, Mafuta,sabuni,nk...

Karibu nipo tayari kushare my experience yangu kwenye hii biashara nayafahamu mengi zaidi na zaidi kwenye hi biashara...

Bidhaa nyingi zinapatikana kwenye viwanda ndipo wanapo nunua hawa matajiri nakuweka kwenye maduka yao ya Jumla

Almost asilimia 98% zinazalishwa hapa hapa Nchini.

Unga wa sembe,unga wa ngano Mfuta yakupikia, Pempers, Sabuni Soft aina zote, chumvi, biscuits, Tomato,majani ya chai,madaftari Aina zote marapa sabauni za unga Aina zote vibiriti nk...

Chamsingi nikuangalia bidhaa zipi utaanza nazo kutokana na mataji wako.

Nimeupenda sana uzi huu naamini naweza pata majibu ya maswali yangu sababu mimi ni mfanyakazi sijawahi Fanya biashara yoyote ila kwa muda mrefu nimekuwa natamani niwe na mimi na duka

1.Nataka kujua makadilio ya kodi wanayoyafanya TRA kwa watu wenye mitaji kuanzia mil 7 mpaka 10

2.inawezekana biashara hii unaweza toa risiti kwa kila mteja anaenunua bidhaa

3.ikitokea mteja kaondoka bila kuchukua risiti na akakamatwa na TRA inakuaje
 

East life

Member
Mar 26, 2021
28
45
Je kuna tofauti ya kiuendeshaji na mtaji pia hata faida kati ya duka la jumla na mini market
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom