Kweli asee, now tunapambana na hizi hapaIla white wash siku hizi zimeadimika sijui kwa nini
Unauzwa 19000 mpaka 18500 naww unauza 20000 faiida yake haizidi 1000Unga wa Sembe wa kilo 25 unanunuaga sh ngapi?
Tanga huko bei lazima iwe tofauti na Dsm mkuu kwa Dsm faida yake ni ndogo sana kutokana na ushindani.Tanga huku Toptang, Ivori ndo zinatumika Sana
Naelewa biashara ya wholesale kwa Dsm Shop ziko nyingi lazima watu waxhindane kwenye punguzo la Bei ili wavutee watejaTanga huko bei lazima iwe tofauti na Dsm mkuu kwa Dsm faida yake ni ndogo sana kutokana na ushindani.
Kweli usemalo nshafika kwa awale aisee Bei wanazouza hazikidhi kununua bulk nakwenda uza jumlaWauzaji wa hivyo vifaa wanaofahamika kwa Kariakoo,
Ni kama akina Othman na Awale,
Bei wanazouzia wao hazikidhi kununua bulk ya kuja kuuza kwa jumla mkuu, nadhani wao sio agents.
Kama una Mawasiliano ya agents wa madaftari,
Tuwekee hapa Kama ulivyofanya kwa bidhaa zingine.
Nimepafananisha na salama bearingHili nimoja kati ya duka kubwa la jumla View attachment 1792162
Bosi uzi umepoa sana tupe nondo tupe hata bei za bidhaa mbali mbaliHellow
SawaSawa mkuu naileta soon
Nimeupenda sana uzi huu naamini naweza pata majibu ya maswali yangu sababu mimi ni mfanyakazi sijawahi Fanya biashara yoyote ila kwa muda mrefu nimekuwa natamani niwe na mimi na dukaMoja kwa moja twende kwenye mada
Kama unamalemgo yakufua biashara ya duka hii jumla achana na haya maduka ya mtaania ya Mangi nazungumzia biashara ya jumla mfano pipi, Tambi, Unga, Mafuta,sabuni,nk...
Karibu nipo tayari kushare my experience yangu kwenye hii biashara nayafahamu mengi zaidi na zaidi kwenye hi biashara...
Bidhaa nyingi zinapatikana kwenye viwanda ndipo wanapo nunua hawa matajiri nakuweka kwenye maduka yao ya Jumla
Almost asilimia 98% zinazalishwa hapa hapa Nchini.
Unga wa sembe,unga wa ngano Mfuta yakupikia, Pempers, Sabuni Soft aina zote, chumvi, biscuits, Tomato,majani ya chai,madaftari Aina zote marapa sabauni za unga Aina zote vibiriti nk...
Chamsingi nikuangalia bidhaa zipi utaanza nazo kutokana na mataji wako.
Mkuu mbona umepotea kabisa hujaweka hata ulichokiahidi.Sawa mkuu naileta soon
Hawez, vile ni technical datas sio data unazoweza kupata kwa mtu anaepiga picha tu store za kariakooMkuu mbona umepotea kabisa hujaweka hata ulichokiahidi.
Vipi kuagiza bidhaa kutoka huko kenya kuja Tanzania hakuna usmbufu? Na kodi ipoje?Naweka link hapa chini ya contact hii ndo company inayotengeneza Big G Pipi
Hi company ipo Kenya
Follow this link to view our catalogue on WhatsApp: Näytä yrityksen Mzuri Sweets Limited katalogi WhatsAppissa
Hi link itakupeleka moja kwa moja hadi WhatsAppView attachment 1800451
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaji bei gani mkuuKupitia uzi huu nimeanza mdogo mdogo...
View attachment 1807752
mtoa mada yuko sahihi sana hizi bei za hivi vitu zina fluctuate kulingana na wakati .bei sio constantNashukuru Wakulungwa, japo hii catalog ni had uchat na mhusika akupe bei..pale hawajaweka bei za bidhaa zao. Kwa maana hiyo uzo wako ni mtamu ila bado swal la kujua current bei za bidhaa mbali mbali (whole sales) litabaki kitendawili..
Kitu ambacho ni msingi sna katika huu uzi wako pendwa