RIC WA KISHETI
Member
- Jun 30, 2015
- 38
- 14
Mimi ni kijana wa kiume ninaishi Arusha.Kiukweli nimekuwa naboreka sana na kitendo cha kutoridhika na kutosheka kimapenzi.Kwa kawaida ninapokuwa faragha na mpenzi wangu huwa namchapa magoli sita mpaka nane lakini kila tukimaliza huwa bado najisikia kuendelea na tendo tena.Mara kadhaa nimekuwa nikienda mrina kununua wadada wanaojiuza lakini bado kiu yangu haikati!!SUALA LINANIPA WAKATI MGUMU SANA....NIFANYE NINI ILI NIWEZE KUWA KAWAIDA TU...,??USHAURI WAKO NI WA MUHIMU
hivi hayo magoli sita mpaka nane huwa unakojoa kama kuku au ?
halafu nani kakuambia kukojoa magoli mengi ndio kuridhika? hivi unajua wanaume pia kunautamu zaidi ya kukojoa?
sasa mkuu kama mkojoa haridhiki .. we unadhani mkojolewa anaweza kuridhika kweli? napata wasi wasikukojoa kwingi siyo kuridhika....na ujiulize je huyo unayemkojolea anaridhika?
hivi hayo magoli sita mpaka nane huwa unakojoa kama kuku au ?
halafu nani kakuambia kukojoa magoli mengi ndio kuridhika? hivi unajua wanaume pia kunautamu zaidi ya kukojoa?
marahaba Nje ya MadaShikamoo miss chagga
Duh hatari hii
ha haha wingi wa magoliWe bonge la straika.. Lakini ujuzi huna..
Ukubwa Wa pua.. Sio wingi wa makamasi.
ha haha wingi wa magoli
Sawa tumekuelewa ulivyo kubuhu kwenye ngono..
Kura yako jpili kwa Lowassa pls.
bao kuntu lakini si kama la kuku ha ha haHahahahah...
Magoli mengi heshima, lakini sio kila baada ya dk tano..
Unapiga goli 6-8 na bado huridhiki ina maana unatumia muda mchache.. Hizo goli sita utakuta zinapigwa ndani ya muda ambao Mimi natumia kupiga goli mbili.
Ama kweli Raha ya Mechi Bao..
ha haha wingi wa magoli