covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 4,935
- 10,801
Natumaini mpo salama Napenda kuchukua fursa hii kuelezea dhamira yangu ya kuwa mshauri wa biashara kwa wajasiriamali, wafanyabiashara, na kampuni mbalimbali.
Ukitaka kufanya biashara yoyote ile unatakiwa kufanya utafiti na kuwa na mshauri. Kutokufanya utafiti ni chanzo cha biashara nyingi kuharibika. Hakuna kipindi kigumu kama kipindi cha kuanza biashara au huduma presha huwa kubwa hasa kwa mara ya kwa maana hujui utaenda kufanikiwa au lah.. pia hakuna kipindi kigumu Zaidi hasa kipindi biashara/huduma inaenda kufa stress failure mawazo huwa ni mengi sasa nini suluhishoo la haya yote
Nitumie leo kuleta mabadiliko chanya na kukuza ufanisi katika biashara/huduma yako ndani ya miezi 3 tu.
Ninauzoefu wa muda mrefu na naweza kutoa ushauri namna nzuri ya kuendesha biashara yako/kampuni ili ikuletee faida sawasawa na matarajio yako.
Nitakufanyia utafiti wa kina na kufuatilia mwenendo wa soko la biashara ya bidhaa zako nini kinahitajika au au wapi bidhaa yk inahitajika, mikakati mbalimbali ya kuteka soko, kuboresha utendaji na uendeshaji ili upate faida ya bidhaa/huduma yako
Uzoefu wangu katika biashara na mazingira tofauti ya biashara umenipa ufahamu wa thamani kuhusu changamoto na fursa zinazoweza kujitokeza. Hakuna biashara inayofanana kabisa na nyingine, ndio maana ninaamini katika kutoa suluhisho. Nitashirikiana nawe kwa karibu ili kuelewa malengo yako, changamoto unazokabiliana nazo, na malengo yako ya biashara/huduma.
Kwa kushirikiana nami kama mshauri wa biashara, utapata mwongozo thabiti, utaalamu wa kiufundi, na mtazamo wa kimkakati unaohitajika kuwa na ushindani katika soko ambalo linalobadilika badilika haraka.
Nitafute kwa namba 0769 055050
Nipo tayari kujibu maswali yoyote au kujadili jinsi ninavyoweza kuchangia katika mafanikio ya biashara/huduma yako. Naamini utanichagua ili tufanye kazi Pamoja na tukuze biashara/huduma yako kwa kiwango kikubwa Zaidi.