lui03152
JF-Expert Member
- Nov 27, 2020
- 250
- 338
Habarini wana JF.
Nimepanda ukoka katika eneo langu nyumbani. Changamoto niipatayo ni aina gani nzuri ya mbolea ambayo utafanya ukoka uwe mzuri na wenye afya na kuvutia?
Kwa wale wataalam wa mambo ya garden waje apa kunishauri.
Na pia hata dawa ya wadudu wanaushambulia sana unakuwa unanyonyoka kama kichwa cha mtu aliyekatwa nywele hasa wakati wa kipindi cha mvua.