fanya kwanza after matokeo mazuri ndio unishukuru badae. Aloe vera anapaka vizuri uso mzima inakua kama mask na umwambie asilambe midomo sana maa ni chungu akiilamba.tShukrani sana
Sawa sawafanya kwanza after matokeo mazuri ndio unishukuru badae. Aloe vera anapaka vizuri uso mzima inakua kama mask na umwambie asilambe midomo sana maa ni chungu akiilamba.t
Mpeleke mtu wako hospitali kubwa ili akaonane na daktari bingwa wa magonjwa ya ngozi. Labda mnawwza kupata suluhisho. Ikishindikana, jaribu kwenda kwenye maduka wanayouza mafuta ya asili. Huenda na kwenyewe mkapata msaada.View attachment 3592592Salaam wakuu
Mtu wangu wa karibu (ke) ana changamoto ya kutokwa na vitundu vidogo vidogo (pores) kama inavoonekana hapo kwenye picha...hiyo ni sehemu ya uso shavuni
Akivikamua/akiviminya izo pores zinatoa kitu kama mafuta mgando mweupe
Anaomba ushauri kwa wataalam wa ngozi na wengine waliowahi kuwa na ngozi kama hiyo atumie lotion gani au mafuta gani au sabuni gani au dawa gani ili ngozi yake iwe smooth/nyororo na ivo vitundu viondoke?
Sawa mkuuMpeleke mtu wako hospitali kubwa ili akaonane na daktari bingwa wa magonjwa ya ngozi. Labda mnawwza kupata suluhisho. Ikishindikana, jaribu kwenda kwenye maduka wanayouza mafuta ya asili. Huenda na kwenyewe mkapata msaada.
Dawa yake inaitwa acnotin( isotretnoin) ikiambatana na doxlinNielekeze ndugu ili ashindwe mwenyewe
Okay sawa, ngoja nilifikishe mchakato uanzeDawa yake inaitwa acnotin( isotretnoin) ikiambatana na doxlin
Dawa hizi atatumia kidonge kimoja kila siku kwa muda wa miezi 6(yaani dox 1 na acnotin 1)
1. Wiki 3 za mwanzo wakati wa kutumia chunusi zitaongezeka kama kazitia mbolea lkn ndo namna yake ya ufanyaji kazi, Wiki ya nne nakuendelea chunusi zitaanza kukauka.
2. Uso utakuwa mkavu na kujifili kama umepauka lkn pia lips hukuaka na kubanduka kama gamba la nyoka
Wakati wa kutumia dawa hizi azingatie yafuatayo
A) atumie tyubu kama persol gel 2.5 usoni kuzuia mpauko au mafuta maalum kwa ajili ya ngozi za mafuta
B) atumie mafuta ya vaseline lip ili kuzuia ukavu wa lips make dawa hizi zinakausha lips na pia asilazimishe kubandua magamba kwenye lips make yatamletea vidonda ye ayaache yabanduke yenyewe
C) anywe maji mengi make dawa hizi zina tabia ya dehydration kama ilivyo pombe so itakuwa inaleta headache akizembea kunywa maji
Mengine atakuwa anajiongeza mwenyewe sasa mfano sometimes maumivu ya kichwa yakizidi ameze actions
HApa kuna dalili zote za heart diseases na kidney diseasesDawa yake inaitwa acnotin( isotretnoin) ikiambatana na doxlin
Dawa hizi atatumia kidonge kimoja kila siku kwa muda wa miezi 6(yaani dox 1 na acnotin 1)
1. Wiki 3 za mwanzo wakati wa kutumia chunusi zitaongezeka kama kazitia mbolea lkn ndo namna yake ya ufanyaji kazi, Wiki ya nne nakuendelea chunusi zitaanza kukauka.
2. Uso utakuwa mkavu na kujifili kama umepauka lkn pia lips hukuaka na kubanduka kama gamba la nyoka
Wakati wa kutumia dawa hizi azingatie yafuatayo
A) atumie tyubu kama persol gel 2.5 usoni kuzuia mpauko au mafuta maalum kwa ajili ya ngozi za mafuta
B) atumie mafuta ya vaseline lip ili kuzuia ukavu wa lips make dawa hizi zinakausha lips na pia asilazimishe kubandua magamba kwenye lips make yatamletea vidonda ye ayaache yabanduke yenyewe
C) anywe maji mengi make dawa hizi zina tabia ya dehydration kama ilivyo pombe so itakuwa inaleta headache akizembea kunywa maji
Mengine atakuwa anajiongeza mwenyewe sasa mfano sometimes maumivu ya kichwa yakizidi ameze actions
Okay sawa, ngoja nilifikishe mchakato uanze
Juu huko comments za kukutoa kwenye reli zimeanza fanya tafiti zako ila cha kukuongezea tu azingatie kula na kunywaOkay sawa, ngoja nilifikishe mchakato uanze
Ili mgundue nini??
Kwamba huijuiYa nini? Ndio inakuwaga kama hivyo😀
Pu? 😂 mna laana nyie watotoKwamba huijui
UhalisiaPu? 😂 mna laana nyie watoto