Nitume, niagize popote ndani ya Dar

Nitume, niagize popote ndani ya Dar

Habari , Kama kichwa kivyojieleza hapo juu, mimi ni kijana mtafutaji pia muaminifu ,ninafanya kazi kusambaza bidhaa, kama una wateja walio mbali basi usisite kuniita na kuniagiza, napeleka mzigo sehemu yoyote ndani ya Dar.
swala la uaminifu.
kwakuwa wengi hawana imani na vijana wanao watuma,kwa baadhi ya watu nilio fanya nao kazi huwa tunakubaliana masharti atakayo nipa ili mzigo wake ufike salama,
Kuanzia asubuhi nakuwa kariakoo na maeneo tofauti nikitafuta kazi za kutumwa ,ukinitafuta nitafika mahali popote.
pia nafanya na usafi maofisini .

Wasifu.
Elimu:iploma-Development
umri 27
ujuzi: computer application

Sina usafiri.
simu: 0769915326

karibuni
Unaweza kazi ya kupeleka pesa bank?
 
Mpo wangapi ? Unachoelezea mbona kama ni impossible; Dar ilivyo kwa siku utatumwa kazi ngapi na usafi utafanya saa ngapi au ni Kampuni au una-cater for premium customers ?

Point yangu ni kwamba huenda simu nane zikipigwa saba zitakukuta upo either kwenye usafi au bado unamalizia / anza utumwaji mwingine...

In short next level ya hii kazi inalipa zaidi wewe kuwa na vijana wa kuwatuma (ingawa hapo unachukua risk ya watu wakiharibu wewe kupata lawama)
 
Dah kila la kheri kaKa lakn kuwa makini unaweza ukaagiziwa mzgo wa magendo halafu mtu akakakuuza umejiandaaj kukabiliana na changamot kama hyo kaka najiuliza tu bro
 
Mpo wangapi ? Unachoelezea mbona kama ni impossible; Dar ilivyo kwa siku utatumwa kazi ngapi na usafi utafanya saa ngapi au ni Kampuni au una-cater for premium customers ?

Point yangu ni kwamba huenda simu nane zikipigwa saba zitakukuta upo either kwenye usafi au Boda unamalizia / anza utumwaji mwingine...

In short next level ya hii kazi inalipa zaidi wewe kuwa na vijana wa kuwatuma (ingawa hapo unachukua risk ya watu wakiharibu wewe kupata lawama)
Niko peke yangu mkuu na pia huwa najitahidi kuhandle na kugawa muda kwa vinavyo wezekana kuvifanya kwa siku hiyo, kuhusu usafi mpaka mtu aniite ofisini kwake namfanyia na kuondoka ,kuhusu kuongeza watu bado sijapata connection yakutosha kwahiyo nafanya mimi mwenyewe ,huko mbeleni nitafanyia kazi mawazo yako mkuu nashukuru.
 
Habari , Kama kichwa kivyojieleza hapo juu, mimi ni kijana mtafutaji pia muaminifu ,ninafanya kazi kusambaza bidhaa, kama una wateja walio mbali basi usisite kuniita na kuniagiza, napeleka mzigo sehemu yoyote ndani ya Dar.
swala la uaminifu.
kwakuwa wengi hawana imani na vijana wanao watuma,kwa baadhi ya watu nilio fanya nao kazi huwa tunakubaliana masharti atakayo nipa ili mzigo wake ufike salama,
Kuanzia asubuhi nakuwa kariakoo na maeneo tofauti nikitafuta kazi za kutumwa ,ukinitafuta nitafika mahali popote.
pia nafanya na usafi maofisini .

Wasifu.
Elimu:iploma-Development
umri 27
ujuzi: computer application

Sina usafiri.
simu: 0769915326

karibuni
Weka I'd yako kamili hapa nikupe kazi acha janja janja kijana mjini hapa weka majina kamili ikiambatana na namba sahih zenye usajili sawa na I'd yako
 
mkuu kama kweli unaweza kunipa kazi niruhusu nikutumie pm details zangu ila sio hapa jukwaani ,nimeweka tuu mawasiliano ili mtu akihitaji ID yangu ninampa tukiwasiliana
 
Back
Top Bottom