Nitayainua macho yangu ooh, niitazame hiyo milima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Von Mo

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Posts
1,819
Reaction score
1,188
Zaburi 121 1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? 2 Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi. 3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye; 4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli. 5 Bwana ndiye mlinzi wako; Bwana ni uvuli mkono wako wa kuume. 6 Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku. 7 Bwana atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. 8 Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele. GONGA LIKE KAMA UNAKUBALI MESEJI HII?
 
Hallo Von Mo, naona hii ingefaa sana Jukwaa la Dini. Hapa mmu inakuwa kama samaki anayejikuta yuko juu ya kisuguu!
 
Last edited by a moderator:
Zaburi 121 1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? 2 Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi. 3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye; 4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli. 5 Bwana ndiye mlinzi wako; Bwana ni uvuli mkono wako wa kuume. 6 Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku. 7 Bwana atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. 8 Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele. GONGA LIKE KAMA UNAKUBALI MESEJI HII?

Kanumba aliimba hii kabla hajaaanza safari, nawe uko tayari tukuandalie usafiri?
 
Zaburi 121 1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? 2 Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi. 3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye; 4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa TANZANIA. 5 Bwana ndiye mlinzi wako; Bwana ni uvuli mkono wako wa kuume. 6 Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku. 7 Bwana atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. 8 Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele. GONGA LIKE KAMA UNAKUBALI MESEJI HII?

Hapo Nimekubali!
 
Zaburi 121 1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? 2 Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi. 3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye; 4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli. 5 Bwana ndiye mlinzi wako; Bwana ni uvuli mkono wako wa kuume. 6 Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku. 7 Bwana atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. 8 Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele. GONGA LIKE KAMA UNAKUBALI MESEJI HII?

Like like like!
 
namshukuru Mungu kwamba kuna kitu ambacho kilinifanya nikose amani lakini baada ya kuimba huu wimbo nimejisikia amani na hata lile jaribu limekwisha.........Mtumaini Mungu siku zote ktk maisha yako. Have a blessed day
 
Zaburi 121 1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? 2 Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi. 3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye; 4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli. 5 Bwana ndiye mlinzi wako; Bwana ni uvuli mkono wako wa kuume. 6 Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku. 7 Bwana atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. 8 Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele. GONGA LIKE KAMA UNAKUBALI MESEJI HII?

Like!like!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom