Nitawezaje kuweka Link kwenye Blog yangu?

Nitawezaje kuweka Link kwenye Blog yangu?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Wadau hii kitu inanisumbua sana kwa muda sasa.

Mwenye kujua tafadhali maana nafuata taratibu zote lakini bado inanigomea.
 
Wadau hii kitu inanisumbua sana kwa muda sasa.

Mwenye kujua tafadhali maana nafuata taratibu zote lakini bado inanigomea.

Swali lako haliko specific.. Jaribu kua specific ueleze iyo link unataka kiuweka wapi
 
Duh!

Hakuna bloga humu?
Ndugu hiyo technologia unayotumia wapo wenzako wanakuja,mimi nilizani unapiga code from scratch ningekusaidia lakini hivi vitu vya what you sew is what you get (WYSIWYG)mimi sipendi kwani vinapunguza thinking capacity in a long run.Usiwe na haraka watakuja wanaotumia hiyo kitu yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom