Nitawezaje kupata channel nzuri za michezo bila DSTV?

Nitawezaje kupata channel nzuri za michezo bila DSTV?

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
699
Reaction score
1,120
Wakuu naomba mtu mwenye uwezo wa kunisaidia kupata channels za Mpira kama ESPN,bein SPORTS AU SKY SPORTS bila kujiungs DSTV
 
unaweza kuipata irib tv na ukatazama mpira epl bila shida3884 h 27500 na tv3 ya ghana ktk astra 28e
 
sijasema inatumia cband mkuu.unaipata kwa dish dogo kuanzia ft3 na kuendelea na uhakikishe ku utakayotumia ina nguvu kisawasawa maana beam yake ipo mbali na tz.hizi hapa freq zake 12522 v 27000 ila kuna mziki kuitafuta wengi sana wamechemka.bein sport ukiwa na dish la ft8 utaipata kupitia nilesat
 
Mkuu saidia kidogo
ipo angle gani kwa hizo frequency.
wengi tunahitaji maana msimu umeanza wa epl
 
sijasema inatumia cband mkuu.unaipata kwa dish dogo kuanzia ft3 na kuendelea na uhakikishe ku utakayotumia ina nguvu kisawasawa maana beam yake ipo mbali na tz.hizi hapa freq zake 12522 v 27000 ila kuna mziki kuitafuta wengi sana wamechemka.bein sport ukiwa na dish la ft8 utaipata kupitia nilesat

Mkuu nackia maeneo ya kanda ya ziwa ndo inapatkana vizur vp na hz LnB za kawaida eg.gulf star zinaweza na VP unaweza upload picha jinsi dish linapoelekezwa!
 
astra ipo uelekeo wa dstv.ukiwa nyuma ya dish ukiipata dstv unatakiwa kupunguza signal ya dstv kwa kuelekeza dish lako kushoto.ni kweli kanda ya ziwa tunaipata astra maana tupo karibu na beam.ila hata dar wanaipata ila lazima uwe na ku iitwayo fuji stargold bei yake kwa huku mwanza ni 35000.nitaweka picha ya dish na beam soon
 
Pia kuna canalsat 22 w ni dish ndogo tu ya cm 90 ila ni pay channel itakulazimu ulipie euro 35 kwa mwezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom