Nitawezaje kupakua vitabu online bila malipo ?

Nitawezaje kupakua vitabu online bila malipo ?

JOYCE PAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2010
Posts
1,005
Reaction score
83
Polen na majukumu wana jukwaa kwa heshima na taadhima naomba mtu mwenye utaalamu au link ya kuweza kupata vitabu vya masomo ya sayansi jamii anisaidie ili niweze ku download maana nasikia kuna watu wana huo utaalamu.asanteni sana
 
Haya...

Njia ya kwanza, katika search engine yako, especially Google andika jina la kitabu, mbele yake andika PDF.

Njia ya pili, tumia torrerents, mfano Kickass, kunamahala pa kusearch, andika jina la kitabu chako hafu utaletewa torerent ya kudownload
 
polen na majukumu wana jukwaa kwa heshima na taadhima naomba mtu mwenye utaalamu au link ya kuweza kupata vitabu vya masomo ya sayansi jamii anisaidie ili niweze ku download maana nasikia kuna watu wana huo utaalamu.asanteni sana
Tip & Tricks za kutumia google search engine zipo kwenye hizi link
Kwa kutumia google search engine utaweza kupata chochote ili mradi kiwepo kwenye internet

KARIBU
 
nashukuru sana jamani kwa msaada...asanteni ngoja nifanyie kazi hayo maelekezo..nikikwama nta wa PM
 
Back
Top Bottom