Nitawezaje kumsahau my X-girlfriend?

Nitawezaje kumsahau my X-girlfriend?

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,227
Reaction score
1,821
MMU idumu!!!!
Ndugu zangu huyu ni mwanamke niliyempenda akanipenda. Sikuwahi kufikiria kwamba kumpenda mtu kunaweza kufanya mabadiliko. Lakini this girl made me a better man. Kwa kweli nili-enjoy sana wakati nipo naye na tulishare mambo mengi. Mpaka home kwao alinipeleka nikaifahamu familia yake vizuri. Unfortunately kwa sababu zisizozuilika ilibidi tuachane. Tuli-break up mwaka jana March. Lakini kuchat tunachat vizuri tu ila si mara kwa mara sana. Lakini nikitaka ni move-on ninakuwa nahisi kama bado ninampenda huyu girlfriend wangu. Nisaidieni kimawazo ndugu zanguni maana siku chache zilizopita nilichat naye akawa ananikumbusha enzi za mapenzi yetu. Kwa kweli mimi na huyu girlfriend wangu tulipendana sana. Lakini huu ni muda wa kuendelea na maisha yangu.
 
kuwa mwanume jiongoze jombaa solve mwenyewe
 
Umesema mliachana kwa sababu zilizo nje ya uwezo wenu so it's time now to move on na kuusaidia moyo kujua kwamba hilo haliwezekani.
 
Acha kuchat naye maana huenda hiyo ndo inakufanya ushindwe kusonga maana unapata tumaini fulani.
 
MMU idumu!!!!
Ndugu zangu huyu ni mwanamke niliyempenda akanipenda. Sikuwahi kufikiria kwamba kumpenda mtu kunaweza kufanya mabadiliko. Lakini this girl made me a better man. Kwa kweli nili-enjoy sana wakati nipo naye na tulishare mambo mengi. Mpaka home kwao alinipeleka nikaifahamu familia yake vizuri. Unfortunately kwa sababu zisizozuilika ilibidi tuachane. Tuli-break up mwaka jana March. Lakini kuchat tunachat vizuri tu ila si mara kwa mara sana. Lakini nikitaka ni move-on ninakuwa nahisi kama bado ninampenda huyu girlfriend wangu. Nisaidieni kimawazo ndugu zanguni maana siku chache zilizopita nilichat naye akawa ananikumbusha enzi za mapenzi yetu. Kwa kweli mimi na huyu girlfriend wangu tulipendana sana. Lakini huu ni muda wa kuendelea na maisha yangu.
baki njia kuu damn it..
 
Dababu za kuachana ni zipi? Itasaidia kujua nitoe ushauri gani.
 
Kama mnapendana rudianeni..true love ndo mpango mzima..usije juta baadae when it's too late yeye kaolewa na asiempenda na ww umeoa usiempenda
 
Acha kuchat naye maana huenda hiyo ndo inakufanya ushindwe kusonga maana unapata tumaini fulani.

Yah hiyo ndo njia halisi,ilinitokeaga mimi pia,niliacha kuchat naye,nilibadili na namba tusitafutane,mbona nikamsahau mpaka nilipompata mwingine,ukikaa na mwingine kwa mda mrefu unakuja kusahau kila kitu
 
Kwanza kubali ukwel kuwa mmeachana na umeamua kumove on, na acha kabisa mawasiliano nae kwani mwisho wa siku mtaendelea ivo hata kama mmoja wenu ataoa au kuolewa lazma mkikumbushiana mahabat ya kale mtachepuka . Be strong amini yupo mwingine aliyeandaliwa kwa jili yako. Let it Go..
 
Ni ngumu sana mkuu..kwa kweli nna hali inayolingana na wewe....Jana nilikutana na Binti ambae wazazi wake waliniwekea mguu kumuoa mapigo ya moyo yalizidi...ni mapenzi ya dhati kwa kweli...ameolewa na mimi nimeoa....Alhamdulillah wake zangu nilionao sasa ni wazuri...kwa hio nilipofika nyumbani nilimwambia mama chanja aandae supu ya kuku tukala na tukalala...kaka umeshahu ule msemo wa bandika bandua.....Tafuta mwanamke mwengine mzuri na mwenye nyengine za kuutuliza moyo wako...Tabia, elimu usafi...na utaweza kusongambele
 
Unataka kumsahau huku unawasiliana nae,tena chat za kukumbushia enzi za mapenzi motomoto? Hauko serious wewe,rudianeni tu.
 
Back
Top Bottom