Msaada wenu wakuu maisha yamekuwa magumu sana hasa kuishi chuo hauna mikopo Msaada wenu wakuu kwa mliowahi kupitia mazingira haya. Niko Ardhi Bsc.AF.
Pole sana kijana...
maisha yanaweza kuwa magumu kwako MARA 2 kwa maana dr.lucian anaeendelea kuwafundisha bussiness mathematics wakati niko kwenye mikono ya yule mzee nilikuwa na zaidi ya 2 millions kwenye account za matumizi kabla sijawekewa lile boom la kwanza(we know mwaka wa kwanza zile hongera na care za family na siblings zinakuwa nyingi)
lakini nilikutana na kimbembe kwa jinsi walimu walivyocomplicate elimu...kina dr.lucian..dr.kapoli(r.i.p)na kina kipanga(law lecturer) na wengineo coz tulikuwa na 16fuckin independent courseskwa mwaka wa kwanza pekee.....nikajikuta mwaka wa kwanza umeisha bila kuenjoy rather than stress za test quiz na vitisho from our seniors na mark za namba za viatu(vya mtumba) kutoka kwa walimu wenyewe.....
i jus find out kuwa ela zimeisha at the end of 1st year na zijazienjoy vizuri coz of stress za school of real estate studies...lakini nimekuwa na friends ambao hawakuwa na mkopo pia na family status zao ziko chini n then managed to survive poa kabisa
but the thing iz ukitaka kusurvive vizuri bila mkopo n u got minimal family support kwa ardhi university inahitaji usiwe na tamaa...jus live a decent life..ka uko incampus hostelz u pendelea kwenda canteen za kwa baba frank na geti dogo.(kuna lower prices)playtime na baa mpya achana nako kabisa...
jitahidi kuhang out na watu mlio na similar status au wale wasio na mkopo pia ili usiwe unapata vishawishi vya matumizi,ka una friend wenye loan na familia bora make sure wanajielewa na wanajali about others..na wanaenda along na wewe...otherwise achana ...ka umepanga ofcampus na rafiki zako make sure mnapika apo geto...
matumizi yasizidi buku 3 per day(inawezekana,am talking from experience)...tune mind yako in a way that gud tym kwako iwe kuangalia movies..kucheza computer games(ka una interest) like fifa with friends na sio kutoka during weekends ....nenda home or kwa ndugu during weekends(kama wapo)itakusaidia kuepuka vishawishi vya kichuochuo..
KIKUBWA KULIKO VYOTE DEDICATE MOST Of ur Time on STUSYING...afterall kwa bsc. in account n finance ina vitu vingi sana ambayo ukisema ufanye thorough covering,muda hautakutosha ata wa kupumzika...so jikeep buzy n buzy kwenye kusoma n siku zitakuwa zinakimbia...u will soon find out umemaliza mwaka watu...(its one among shortest programmes at ardhi).
All the best.