Ugali Supu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 252
- 260
Msaada wenu wakuu maisha yamekuwa magumu sana hasa kuishi chuo hauna mikopo Msaada wenu wakuu kwa mliowahi kupitia mazingira haya.
Niko Ardhi Bsc.AF.
Niko Ardhi Bsc.AF.
Msaada wenu wakuu maisha yamekuwa magumu sana hasa kuishi chuo hauna mikopo Msaada wenu wakuu kwa mliowahi kupitia mazingira haya. Niko Ardhi Bsc.AF.

sijajua uko tighty kiasigani,tafuta shule uwe unafndisha part time kwa masomo ya biashara/hesabu utapata ,itakuboost,kuwa makini isiingilie ratiba yako ya shule,all the best!
Hapa Arthi kuko tightvsana coz huwa nakuwa na vipindi siochini ya vinne per day. some time mpaka saa2 usiku ratiba imebana.
Then kuhusu Appeal nilifanya hvo pia niliambatanisha hadi nyaraka za Mahakama kuwa sina uwezo . Kuhusu kuwa na mtu HESLB sina kka. m nimetoka zangu bushi Kagera.So sina ninaye mfahamu huko#mossad & blesed
Thanks bro Dr. lucian tuko nae Tunasubiria RESULTS. pia mkuu m nipo ghetto Makongo life langu liko simple sana ila najibana sana bt kutokana na low status za wazaz some time hata copy nashindwa bt nikukaza moyo. Shida sana #mossad 03
Pole sana rafiki, mm nimehitimu mwaka jana UDSM. Niliingia mwaka wa kwanza na tatizo kama lako. Nili appeal haikusaidia. But mwaka wa pili niliomba tena na kufanikiwa. Hivyo uckate tamaa. Nipe namba yako kama hutojal tuwacliane kwa msaada wa maelezo zaidi.
Msaada wenu wakuu maisha yamekuwa magumu sana hasa kuishi chuo hauna mikopo Msaada wenu wakuu kwa mliowahi kupitia mazingira haya.
Niko Ardhi Bsc.AF.