Nitawezaje ku-delete Contact kwenye WhatsApp

Nitawezaje ku-delete Contact kwenye WhatsApp

Itezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
389
Reaction score
95
Hi wote!

Jamani nisaidieni mwenzenu kwa anayejua jinsi ya ku delete contact kwenye WhatsApp

mimi ninachojua ni kuweza ku delete kwenye conversation tu,lakini huku kwenye Contacts nashindwa

na nina watu ambao sometimes sitamani hata kufungua kwenye WhatsApp contact kwa sababu ya kutopenda kuwaona.

Naomba tushee tafadhali.
 
Una akili,futa no kwenye phone book utawaona tena wassup umeshindwa kugundya hicho kitu kweli?
 
Una akili,futa no kwenye phone book utawaona tena wassup umeshindwa kugundya hicho kitu kweli?

Sijawa safe kokote but wanaoneka kwa namba zao na Profile tu kwenye WhatsApp
 
Una akili,futa no kwenye phone book utawaona tena wassup umeshindwa kugundya hicho kitu kweli?
jamasike
Asanteeeeee!!!!!!!!!!!!!!!! umenishushua, ni kweli sina akili lakini umenisaidia na tayari nimesha wa delete wooote ambao nilikuwa sipendi kuwaona

Thanks again God bless you a million more times!!!! Kunywa soda nitalipa mimi.

Ikiwezekana mjadala ufungwe!!! nishapata nilichokuwa nataka!
 
Nenda kwenye contacts then delete hizo namba zinazokukera....hutoziona tena kwenye whatsapp...ukishindwa ni pm...sawa?
 
Nenda kwenye contacts then delete hizo namba zinazokukera....hutoziona tena kwenye whatsapp...ukishindwa ni pm...sawa?

Asante sana Nali nishafanikiwa,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom