Nitawezaje Ku connect Htc Desire Yangu Na Htc Sync kwenye Pc

the great wizard

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2015
Posts
1,482
Reaction score
894
habari wadau
nina simu ya yangu ya htc desire ni yazamani kidogo ina android 2.2.2 sasa nilikuwa nahitaji niweze kuiupgrade kwenda android 3.3
Tatizo linakuja kila nikijaribu kuiconnect simu kwenye pc simu haionekani kwenye Htc SYNC.
na ukitaka kuiupgrade simu lazima kwanza isome kwenye htc sync.
kama kuna mtu anaujuzi wa hii kitu anisaidie niweze ku connect simu na htc sync
Capture.PNG
 
hizo htc za zamani rom ndio software, yani ukidownload rom unairun inajiflash. sema kuwa makini sana kui brick ni dakika 1 tu unabakia na kopo. model yake ni ipi?
 
mkuu hii ni zile Htc Desire toleo la kwanza za 2010
 
hizo htc za zamani rom ndio software, yani ukidownload rom unairun inajiflash. sema kuwa makini sana kui brick ni dakika 1 tu unabakia na kopo. model yake ni ipi?
hata niki ibrick sio mbaya.
nataka kui upgrade hiyo android maana hii android 2.2 sio kitu
 
Back
Top Bottom