Mnaogopa? Endelea kuwapiga watu risasi na sandarusi.Ghadaffi aliondolewa na kuuawa kinyama kwa maslahi ya wazungu na hatima ya nchi ya libya imekuwa ni mbaya sana na kupelekea vita visivyoisha na ukimbizi wa aina yake duniani.
leo hii tunashuhudia jaribio la kumuondoa Mugabe kwa mapinduzi baada ya mbinu za kidemokrasia kushindwa.
Kwa mujibu wa BBC wazungu wanaamini kuwa Zimbabwe imekuwa mismanaged kwa miaka zaidi ya 37...msimamo huu unahusianishwa na yeye kuwafukuza matajiri wachache kwa manufaa ya umma.
Leo hii wazungu wanatuaminisha kuwa nchi ya Zimbabwe imeharibika kutokana na kuondoa mazingira ya unyonyaji wa wawekezaji wa kizungu.
Ni wakati AU kuonesha makucha yake na kukataa double standards katika Demokrasia.Au wanapaswa kupinga kwa kauli na matendo yote dhidi ya mapinduzi haya ya kijeshi.
AU wasipoponga au UN wasipopinga mapinduzi basi tusuwasikie tena kupinga mapinduzi sehemu yoyote duniani.
Hapo siyo kwa maslilahi ya WazunguGhadaffi aliondolewa na kuuawa kinyama kwa maslahi ya wazungu na hatima ya nchi ya libya imekuwa ni mbaya sana na kupelekea vita visivyoisha na ukimbizi wa aina yake duniani.
leo hii tunashuhudia jaribio la kumuondoa Mugabe kwa mapinduzi baada ya mbinu za kidemokrasia kushindwa.
Kwa mujibu wa BBC wazungu wanaamini kuwa Zimbabwe imekuwa mismanaged kwa miaka zaidi ya 37...msimamo huu unahusianishwa na yeye kuwafukuza matajiri wachache kwa manufaa ya umma.
Leo hii wazungu wanatuaminisha kuwa nchi ya Zimbabwe imeharibika kutokana na kuondoa mazingira ya unyonyaji wa wawekezaji wa kizungu.
Ni wakati AU kuonesha makucha yake na kukataa double standards katika Demokrasia.Au wanapaswa kupinga kwa kauli na matendo yote dhidi ya mapinduzi haya ya kijeshi.
AU wasipoponga au UN wasipopinga mapinduzi basi tusuwasikie tena kupinga mapinduzi sehemu yoyote duniani.
Sio wazungu. Wazimbabwe wenyewe wanaamini hiyo. Sijui kwa nini imewachukua muda mrefu hivi kufanya maamuzi haya makini. Itabidi wamshukuru tu yule mama maana bila chokochoko zake za kuutaka uSamia Suluhu then uRais, jeshi lisingegutuka na kufanya what they should have done 5 years ago.Kwa mujibu wa BBC wazungu wanaamini kuwa Zimbabwe imekuwa mismanaged kwa miaka zaidi ya 37..
Uchumi wa zimbabwe umetoka kwenye kurudi nyuma na kuanza kukua kwa asilimia 0.2%..Mimi nawashangaa Wazimbabwe kwa nini imewachukua muda mrefu hivi kumng'oa huyo kibabu!!
Ilifika wakati watu walianza kushindia majani na nyama za panya!!
Huyo kibabu alipaswa kuwa keshaondolewa muda mrefu sana.
Hakuna mzimbabwe anayeamini hizo propaganda za wazunguSio wazungu. Wazimbabwe wenyewe wanaamini hiyo. Sijui kwa nini imewachukua muda mrefu hivi kufanya maamuzi haya makini. Itabidi wamshukuru tu yule mama maana bila chokochoko zake za kuutaka uSamia Suluhu then uRais, jeshi lisingegutuka na kufanya what they should have done 5 years ago.