Nitavaa ped muda wote kuanzia leo

Nitavaa ped muda wote kuanzia leo

Menorrhagia....aende hospitali atibiwe
 
uongo mtupu.yaani hadi ulowane usihisi kitu ? hakunaga

umeona eeh Smile. hizi stori nyingine tuwe tunajiuliza kabla yaani tunajidjalilisha wenyewe msonyoooooo
 
Last edited by a moderator:
ohh pole zake , ujue madawa ya uzazi wa mpango yana disturb endocrine system na kuvuruga siku za hedhi hivyo endometrium walls zinashed off blood unnecessarily , kuna mdau alidai yeye alibleed mwezi mzima , bora kutumia natural method ya kuwithdraw kuliko mateso haya
 
hata akioga ? hata akifanya ma2c? hata akin.ya? mmh haya..!
 
uongo mtupu.yaani hadi ulowane usihisi kitu ? hakunaga

Umeonaeee.Alafu siku ya kwanza inaanza tu kutoka iwe nyingi kiasi hicho.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
uongo mtupu.yaani hadi ulowane usihisi kitu ? hakunaga

Ikiwa haijawahi kukutokea una haki kusema ni uongo, ila me nimeshuhudia watu tofauti wanne hii hali ikiwatokea.
 
uzuri wa damu bwana ikianza tu lazima utahisi k imekuwa nzito ..so lazima ukajicheki toileti yaani haiwezekaniki hadi mtu ulowane chapachapa bila kujua ,,,hata harufu si itatoka sasa kama ni kuloa..

Naona kuna wengi inawatokea, kwasababu nilimshtukia mwanafunz wangu wa kike nlimsimamisha akanitumbulia macho tu nkajua ndio yaleyale, nikawatoa wenzake nje af nkamshtua madam akamsaidia.
Pia kuna dada mmoja siku moja alishtuliwa na mama wa mtaani alipomuana kachafuka au sijui alijua alichukulia poa!
 
uzuri wa damu bwana ikianza tu lazima utahisi k imekuwa nzito ..so lazima ukajicheki toileti yaani haiwezekaniki hadi mtu ulowane chapachapa bila kujua ,,,hata harufu si itatoka sasa kama ni kuloa...

Nakumbuka kushuhudia tukio kama hilo lkn ilikuwa kwenye daladala, gari halikuwa na watu wengi mimi nilikaa na mdada mmoja,lkn ghafla nilianza kuhisi harufu ya damu baada kama ya nusu saa dada akafika ktk kituo chake akainuka ili ashuke lkn alipokaa palishalowa damu,na sketi yake ililowa ingawa haikuwa nyeupe hivyo ilikuwa ngumu kubaini kuwa ni damu,nilijaribu kumuita alinigeukia na kunitazama (mimi niliona kanitazama kwa dharau) na kuondoka, nikamuita konda alipofika bila kuongea nikamuonyesha akaleta tambala akapafuta alipokaa mdada (seat cover ilikuwa ya mpira) na kama kawaida ya makonda akaanza kubwabwaja gari lote wakajua nilichomuitia,mimacho ikawatoka kumfuatilia mdada, na kwa upande wa yule dada,yeye alilizunguka gari ili avuke barabara hivyo akawa upande wangu,nikamuita tena, akaniangalia kama mwanzo hlf akageuka ndipo nikamwambia kwa sauti bila kujali watu "dada jikague nyuma umelowana" huku gari linaondoka, nikaendelea kumuangalia alijishika na kustuka sana akawa anatoa nguo ktk pochi yake nahisi ilikuwa khanga umbali ukawa mrefu sikujua kilicho endelea. Huku kwenye gari story ikawa ni yeye na wamama waliokuwemo wakawa wanamlaumu sana kwa uzembe wake na kama ilivyo ktk uzi huu wanaume wakawa wanatetea, ni konda tu aliyelalama kuwa dada ananyodo acha yamkute bro kamuita kamsikia kamuangalia kwa nyodo kashuka wakati alichomuitia ingekuwa msaada wa kumfichia aibu yake maana ktk gari watu wasingejua kinachoendelea. Hivyo haya mambo yanatokea sielewi kwa nini wadada zetu wanashindwa kustuka mapema kuwa mambo yameharibika hivyo afanye maarifa haraka kurekebisha!
 
uongo mtupu.yaani hadi ulowane usihisi kitu ? hakunaga

Kweli mwenzng maana ATM ikitema lazima ujue tu vitu vinashuka,,,wakat mwngine hta kama umevaa ped ikijaa unahc kabisa kuwa ped imejaa sasa hyo duuuu pole yake
 
Inatokea, mi nilimuona mdada kwenye daladala tunatoka zetu posta mida ya saa tisa. Mimi nimekaa yeye kasimama pembeni yangu na kubanana na wengine maana bus lilikuwa limejaa sana. Nilikuja shtukia alipokuwa anateremka victoria michiriz miwili ya damu kwenye mguu wake mmoja na kiatu alichokuwa amevaa kilijaa damu kwenye kisigino. Sketi haikuwa imelowa na kwakweli nilimpotezea. Watu walipoanza kupungua makumbusho ndipo watu walipoiona damu kwenye korido ya bus ila hawakujua ni ya nani, peke yangu nilijua
 
Hivi nie mnacheza na hizi dawa za uzazi wa mpango za kisasa!


Umeonaeee.Alafu siku ya kwanza inaanza tu kutoka iwe nyingi kiasi hicho.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wewe kwanini unalazimisha..sisi wanawake tunajua yanayotufika wewe unalazimisha...we vipI.?? Mwanaume kweli au ubishi ubishi tuu kubishania vitu vya kike..?? Ushawahi kubleed km hujawahi piga kimya

napiga kimya.
 
mimi si mwanamke lakini kibiolojia inawezekana,kumbuka unahisiana kwa sababu mfumo wa kuhisi unafanya kazi sawasawa lakini kama kuna tatizo huwezi kuhisi kirahisi,hujawahi kusikia unaweza kuugua na mfumo wa taarifa ukapoteza uwezo kiasi cha hata kuangukia na moto usijue mpaka uungue zaidi,pia inategemea na yeye mazingira aliyokuwepo ndio mana wakati mwingine kinatokea kitu unakuwa kama unahisi kwa mbali lakini usijue kama nini mpaka macho yaone

Ni kweli kabisa! Halafu ujue kama yeye imemtokea ghafla, alikuwa bado ana wiki na siku kadhaa kwa hiyo hakufikiria kabisa kwamba such a thing may happen halafu alikuwa mwenye warsha na mawazo yake yote yapo hapo ni ngumu kuhisi. Kama zingekuwa lad=bda zimebaki siku tatu hivi angeweza kuhisi. Sioni sababu ya kumlaumu ni kumpa pole tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom