Uchaguzi 2020 Nitashangaa sana kama CCM watampitisha Dkt. Mwigulu Nchemba kwa madudu haya anayofanya Iramba

Pole ndugu mjumbe

analipiza kisasi na kuunda timu itakayomtii yeye awe na madaraka ama akiwa mbunge

na hampo upande wake...lazima awafyeke

la maana Muungen mkono mgombea wa 'ni YEYE' hata kwa siri...hamwezi kupambana naye mtakuwa viroba
Asante Ndugu Mtazamaji!
 
Sio mwigulu bali ni mfumo mzima kuanzia mwenyekiti wao wote ni wala rushwa tu
 

Attachments

  • IMG-20200805-WA0031.jpg
    IMG-20200805-WA0031.jpg
    74.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom