Nitashangaa nikigundua. . . . .

Nitashangaa nikigundua. . . . .

Mbona ushangai sasa au mpaka 2kutane kwenye panton
ney kush...nivije hatujawai kukutana pantonini...mi hupendelea kupanda kubwa lile..nkilikosaga ata kama nachelewa job lazima nlingoje.
 
Last edited by a moderator:
Nenda kashangae posta watu wazima wanalamba stempu.
 
Sitashanga nikigundua Erick52 ndiyo Kimbweka! Na
Sitashangaa nikigundua BAGAH ndiyo Funzadume!
 
Heheheeee Ronn M bhana lol
utakuta ni kweli sa sijui siku ukigundua ni yeye na anavyofyatuka sijui utajinyonga wewe au utamnyonga yeye lol

hhhahahaaa nahisi atatembeza ban humu jf na nyumbani
 
Last edited by a moderator:
Mimi nitashangaa nikijua kwamba cacico ndiye mpishi wetu wa chai hapa ofisini......................
Maana haka ka binti huwa kanaganda kwenye PC zetu tukiwa lunch, na tukifika tu kana log off................
 
Loh, u made my day sir
 
Last edited by a moderator:
ntashangaa nikigundua gfsonwin ni aunt yangu. make aunt mtata kwel huwa ana busara sana.
ntashangaa nikigundua cacico ni mke wa mbunge flan machachari anaetokea M4C. . .
 
Last edited by a moderator:
Sitashangaa kugundua Erotica = Kaunga
Ila naweza kushangaa akiamua kuninyima
 
Last edited by a moderator:
ntashangaa nikigundua gfsonwin ni aunt yangu. make aunt mtata kwel huwa ana busara sana.
ntashangaa nikigundua cacico ni mke wa mbunge flan machachari anaetokea M4C. . .

mimi ntshangaa kugundua kwamba wewe ndiye mdogo wangu wa mwisho home lol. nitashangaa sana nikigundua Bazazi ni mwanafunzi wangu pale shule lol!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom