Nitashangaa nikigundua. . . . .

Ronn M

JF-Expert Member
May 2, 2012
1,279
683
JF hakika imekuwa ni sehemu muhimu kwangu! Habari, burudani nk nk! Waliofanya watu wasitumie ID za ukweli

wameongeza sana uhuru wa watu humu. Hata hivyo kuna watu kadhaa nikigundua kuwa hawapo kama nilivyotarajia

nitashangaa!

Kwa mfano nitashangaa siku nikigundua Erickb52 naye anafanya kazi kwenye genge la kina Mwema na Kova wakati
Bishanga ni OCS wa Buguruni!

Nitashangaa siku nikigundua Preta na charminglady ni weusi kama ndugu zetu wa sudani ya kusini wakati Erotica ni mwanaume receptionist wa lodge moja hapa dar!

Nitashangaa kukutana na BADILI TABIA na Kongosho kwenye daladala ya gongo la mboto wanamwomba konda awapunguzi 50/=

Halafu kubwa zaidi nitashangaa kama kwa muda mrefu nimekuwa nachangia post za watoto wa secondary humu ndani!

Wewe je?
 
Last edited by a moderator:
Nitashangaa nikigundua Pombekali ndiye Joshua Mulundi na kwamba safari yake ya pande ililenga kutafuta saa ya dhahabu

aliyodondosha akiwa na yule ACP yule
 
Last edited by a moderator:
Nitashangaa nikigundua Pombekali ndiye Joshua Mulundi na kwamba safari yake ya pande ililenga kutafuta saa ya dhahabu

aliyodondosha akiwa na yule ACP yule

Huna sababu ya kushangaa mkuu,Niliambiwa Cacico ni mama Mary Nagu sikushangaa, afu eti Njiwa ni Rostam A, na kumbe Mafilili ni yule NYARA YA SERIKALI
 
Last edited by a moderator:
Huna sababu ya kushangaa mkuu,Niliambiwa Cacico ni mama Mary Nagu sikushangaa, afu eti Njiwa ni Rostam A, na kumbe Mafilili ni yule NYARA YA SERIKALI

Kumbe MAFILILI ndio nyara Loh! Mbona mi niliambiwa cacico ndiye Rose Kamili ana ugomvi na Zinduna ambaye ndiye Josephine?
 
Last edited by a moderator:
Nitashangaa nikigundua Katavi ni katibu wa Nchemba!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom