Uchaguzi 2020 Nitashangaa kama bado kuna Watanzania watawapa kura Upinzani

Vijana wa lumumba mna moto😂😂😂😂
Ila Mimi mtu akitaja CCM napata kizunguzungu😂
 
Mimi nitashangaa sana kama kuna vijana wanashabikia ccm iliyokaa madarakani miaka zaidi ya 60 sasa. Tuache kushabikia udikteta.
 
Cha ajabu hapo kwenye afya, vituo vya afya 5,000 vimejengwa na kukarabatiwa nchi nzima lakini hakuna ajira za afya zilizotoka sasa sijui zinahudumiwa na malaika.

Kwanini hamu wenu wazi namba ya vituo vipya vilivyojengwa na vilivyokarabatiwa?
Ajira za afya n nyingi sana zimetoka.

Mm niliajiriwa 2018,na juzi tu madakatri 1000 wameajiriwa
 
Kuchagua upinzani hakuna ajabu yoyote. In suala LA utashi was mpiga kura. Siyo lazima kila MTU apende unachopenda. Heshima hiyo unayosema imerudi ilipotezwa na nani kama siyo hiyo hiyo CCM unayoinadi.
 
Tushawazoea wapinzani hapo Kelele Mobb utakuta hata kitambulisho cha mpiga kura huna
Ungejua niko idara gani? Wala usingeandika hivyo, hivi hao watangulizi wake wangekuwa Kama Meko si ingekuwa kero, wamefanya makubwa kwa nchi wametulia tu, tatizo wachumia tumbo ndio mnazingua tu
 
Ungejua niko idara gani? Wala usingeandika hivyo, hivi hao watangulizi wake wangekuwa Kama Meko si ingekuwa kero, wamefanya makubwa kwa nchi wametulia tu, tatizo wachumia tumbo ndio mnazingua tu
Hao watanguliz wake walifanya nini mjumbe,Magu kafanya mambo magumu na mazito kumkalisha mzungu tu kwa ile ishu ya makinikia sio mchezo
 
Kuchagua upinzani hakuna ajabu yoyote. In suala LA utashi was mpiga kura. Siyo lazima kila MTU apende unachopenda. Heshima hiyo unayosema imerudi ilipotezwa na nani kama siyo hiyo hiyo CCM unayoinadi.
Ntamshangaa Mtz anayepigwa na jua la kwenye foleni ati kumpigia kura mpinzani.
 
Cha ajabu hapo kwenye afya, vituo vya afya 5,000 vimejengwa na kukarabatiwa nchi nzima lakini hakuna ajira za afya zilizotoka sasa sijui zinahudumiwa na malaika.

Kwanini hamu wenu wazi namba ya vituo vipya vilivyojengwa na vilivyokarabatiwa?

Ukitaka kufuga kuku.. unaanza kujenga banda au unaanza kununua vifaranga?
 
Unapata wapi ujasiri wa kutusemea wengine?sisi wakulima hamna alichotufanyia mpaka leo hatujalipwa hela zetu za koroshow bei ya ufuta imeshuka sana yani ni hasara tupu mbaazi ndo ilishakufa kabisa
 
Back
Top Bottom