Sir Carter
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 632
- 1,397
Ni vizuri kama umekubali tatizo na dawa ya tatizo sio kulikimbia ni kulikabili. Jiamini na uamini ya kuwa unaeza kurudi katika hali yako ya mwanzo kabla haujangia kwenye hayo mambo.
Iko hivi kwa watu waliojiingiza katika kujichua uwezekano wa kutoka upo lakini ukiamua mwenyewe bila wewe mwenyewe kuamua ufikirie tu flani aliniambia niache hivyo hautaweza.
Jichanganye na watu tofauti tofauti sio wenye kupenda kuongelea mambo ya mapenzi na usipende kukaa mwenyewe pia usipende kuangalia porn au video zenye vichochezi ya wewe kurudi katika hiyo hali.
Jiulize kwanini fulani anadem wake mkali na anafanya nae mambo mimi ninaye lakini siwezi kutokana na hii hali yangu then ikatae kabisa fanya maamuzi bila hvyo utajikuta unaishia huko tu.
Uzuri hiyo kitu ukiamua wewe mwenyewe unaweza mazoezi pia yanachangia kukuweka bize maana hautawaza sana hayo mambo.
Pia ujitahidi wakati unaenda kuoga usikae muda mrefu ukijisafisha sehemu zako za siri maana ni kichochezi kimoja wapo au hata muda umepumzika usijishike sehem zako za siri ukiamua unaweza ila usipoamua utaishia kujilaumu kila siku na kuomba ushauri wakati wewe mwenyewe ndio tatizo.
Then ipo hivi kwa mtu anayejichua akiamua kuacha hyo kitu kwa takribani siku 40 basi huyo tayari ameshajinasua, jitahidi kupanga ratiba itakayokuweka bize ndani ya muda huo utafurahia mwenyewe.