Nitarudishaje "Uanaume" wangu?

The Dark

The Dark

Member
Joined
Mar 25, 2019
Messages
55
Points
125
The Dark

The Dark

Member
Joined Mar 25, 2019
55 125
Wakuu.

Wakati wa mwanzo wa ujana wangu..nilifundishwa kitu kibaya,rafiki yangu mmoja aliyekuwa amenizidi umri alinipa ushauri ambao umeniharibia 'future' yangu kama mwanaume.

Wakati huo nikiwa natoka primary kwenda secondary, ni kipindi ambacho hisia za 'ngono' zilianza kushika kasi.Rafiki yangu ni mtu aliyekuwa busy na mademu...wakati huo sikupenda kujihusisha na mahusiano....lakini mazungumzo yalizungumzwa na marafiki mara zote yalihusu ngono....kipindi hicho ndipo ambapo video za porno zilishika kasi...wale waliojaliwa simu za 'memori' walijaza video hizo,baada ya skuli ni kujichimbia ghetto kuzitazama.

Hapo ndipo tatizo lilopoanzia,Kujichua!

Rafiki akanionesha kila aina ya upigaji puli.Kuanzia kutumia sabuni hadi mafuta.Tabia hii ilianza kuniathiri mimi kuliko yeye na wengine.Ilifikia kipindi sikuweza kulala bila kujichua,muda mwingine hadi mara tano kwa siku.

Kibaya zaidi,wakati fulani hakukuwa na sabuni wala mafuta,yaan ni uume na mkono wangu,kitandani tulilala wawili,mimi na mdogo wangu,kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja...dogo akilala tu!..zoezi linaanza,mkono na uume,kuna kipindi uume ulivimba...hivyo nikaapa kuacha.Lakini hazikupita siku nyingi nikarejea kulekule.

Nikiwa bafuni siwezi kutoka bila kujichua,usiku haukuchi bila kujichua,tens mara bila kilainishi.Wakati huo niliweza kwenda hata bao mbili bila uume kulala,baada kidogo mabadiliko yakaanza,bao la kwanza lilikuja baada ya sekunde kadhaa,uume unasinyaa,naendelea na mambo yangu...sijui ujinga gani...hali hii niliifurahia kwa kuwa niliridhika mapema na hivyo kuepusha uwezekano wa 'kufumaniwa' au kukaa bafuni muda mrefu.

Siku zikayoyoma,uume kusimama ni kwa mbinde,naangalia porno(kwenye simu yangu) ndiyo angalau 'kauume' kasimame,wakati wote huo wasichana wa nini kwa mfano,wakati raha najipa mwenyewe,baada ya kumaliza olevel,akili ndio inakuja...tayari nina tatizo...uume umesinyaa sana...sijui kwanini sikugundua mapema...kusimama ni kwa shida,tena ukisimama ni kwa muda mrefu unajikunyata tena....kuna kipindi niliogopa kutafuta 'demu',wa nini?nitamfanya na hali hii?

Nilisafiri nje ya nyumbani,huko ndiko nilipopata sehemu ya kufanya majaribio...hawanijui....nikawa nafika mshindo kwa sekunde kadhaa and the case closed.

Uume hausimami,nausimamisha kwa kukaza sana misuli ya tumbo,nikiiachia uume unalegea....

Kuna wakati nilipata msichana nikiwa safarini,nilishangaa uume ulisimama sana japo ukubwa umepungua sana...cha ajabu...ndani ya uke sikuhisi chochote cha tofauti...ni kama hisia hamna kabisa...uume umezoea mkono....nilitumia zaidi dakika kumi sikuhisi hata dalili ya kufika kileleni.Nilimuacha ndani(guest house) huyo binti na kuondoka zangu.

Sasa nina miaka 23,nimepata binti niliyetokea kumpenda sana,and she loves me the same....tuna miezi kumi tangu tuanze mahusiano.No Sex!

Nalijua tatizo langu....naogopa kuaibika.

Natamani sana siku za usoni nimuoe,nitamuoa!..ila itakuwaje???

Uume ninao...umepungua...ila kupungua sio tatizo kwangu...unasimama ila si kwa muda mrefu....

Sina wa kumlaumu...

Ila tatizo hili nitalitatuaje??
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
3,903
Points
2,000
Age
24
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
3,903 2,000
Kwa mda mrefu ukiwa unaona papuchi? Au ukiwa peke yako?
 
The Dark

The Dark

Member
Joined
Mar 25, 2019
Messages
55
Points
125
The Dark

The Dark

Member
Joined Mar 25, 2019
55 125
Kichwa cha Uzi tu kinaonyesha umeshajikatia tamaa sasa hiyo haifai kabisa mkuu jiamini wewe bado wakiume na unaweza. Jitengeneze kwanza kiakili alafu ndio utafute solution
Kujiamini kupo....but hakuondoi tatizo...bado ninalo
 
Davet

Davet

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
26,461
Points
2,000
Davet

Davet

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
26,461 2,000
Kujiamini kupo....but hakuondoi tatizo...bado ninalo
Huko kujiamini ndio umekuandika hapa sasa hivi ila uzi wako hauna hicho kitu ndugu yangu.....

Unaweza chukulia poa niliyosema lakini yana maana kubwa juu ya tatizo lako, amini nakuambia hapatatokea mtu hapa akuambie kanunue dawa flani umeze utapona
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
7,584
Points
2,000
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
7,584 2,000
Tatizo hilo linaisha taratibu sana kama utakuwa umeamua kuacha kabisa huo mchezo,omba Mungu atakunasua kwenye hilo janga...
 
BANGO JEUPE

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Messages
2,214
Points
2,000
Age
29
BANGO JEUPE

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2015
2,214 2,000
Jiamini mkuu kaka yako nimetoka huko, tena mi Nilikua balaa kwenye hizo mambo Nilikua nanyetuka hadi kwenye daladala
Niliacha na sasa nimeoa wake wawili , nasimamia mzigo vizuri
Ila itachukua muda kukaa sawa, inabidi huyo demu wako awe mvumilivu, maana wengine wana maneno ya shombo, kuendea huwezi

Mi nilifanya mazoezi kwa mademu tofautitofauti, hadi nikawa sawa

Husisahau kugoogle mazoezi ya kuimarisha misuri ya uume, itakusaidia pia ila kikubwa ni kujikubali husiwe mnyonge kwenye shoo na wakati wa mwanzo cheza vizuri kwenye romance
 
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
31,226
Points
2,000
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
31,226 2,000
Mkuu Fanya Mazoezi Narudia Tena Fany a Mazoezi.

Weka ratiba Vizuri ya kuweza kufanya mazoezi boss asubuhi/ jioni.

Mazoezi Mwanzo Huwa Kama yanachosha ila nakuhakikishia ukifanya Kama kwa siku nne mfululizo Itakuwa Kama utamaduni wako.

Hakuna Dawa Yeyote ile boss wangu ya madhara ya Punyeto ya hakika ukiachana na mazoezi.

Take time brother utakuja kunishukuru Mwenyewe.
 
Gomegwa G

Gomegwa G

Member
Joined
Dec 9, 2018
Messages
84
Points
125
Gomegwa G

Gomegwa G

Member
Joined Dec 9, 2018
84 125
Pole sana jamaa,
Hili ni tatizo sugu ambalo nina uhakika wanaume wengi wamelipitia japokuwa wengine wanakuwa/tunakuwa hatukuathirika sana.
*pornography is the fuel for musturbation, let you stay away from it. La msingi tu achana na hilo swala. Acha kujichua na fanya mazoezi utapona.
Jiamni pia. Usijione kama huwezi.
Nikikuelekeza dawa ya kufanya ili urudi kuongeza nguvu utapata nguvu za kulipuliza tena.
I have helped you anyway.
Fanya hivyo utapata matokeo.
 
M

Mchanya

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
648
Points
1,000
M

Mchanya

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
648 1,000
Kwanza, pole kwa changamoto lakini pia, hongera sana kwa kukubali kwamba una tatizo - hiyo ni hatua muhimu sana kuelekea kutatua tatizo lako. Kutambua na kukubali kwamba una tatizo ni kama nusu kuelekea utatuzi wa tatizo lenyewe la msingi.

Pili, kwa maoni yangu tatizo lako liko zaidi akilini mwako - umeshahitimisha kwamba una tatizo la kusimamisha na halina tiba, si kweli bali hivyo ndivyo unavyofikiri. Akili zetu zina nguvu sana kuliko tunavyofikiri, ukiiaminisha akili yako kwamba 'siwezi', basi tambua kwamba hutaweza kabisa, lakini ukiiaminisha akili yako kwamba 'ninaweza; basi utashangaa jinsi utakavyoweza.

Tatu, una haraka mno, tambua kwamba tatizo lako ni la muda mrefu - ni miaka kadhaa, hivyo utatuzi wake pia utachukuwa muda. Ugonjwa umeingia polepole kwa miaka kadhaa hivyo hauwezi kutoka kwa muda mfupi ili hali ulichukua muda mrefu kuingia. Ni kama mtu aliyevuta sigara kwa miaka kadhaa na kisha anataka kuacha kwa muda mfupi haiwezekani.

Ushauri wa utatuzi
1) Jiaminishe kwamba tatizo lako ni la muda na litapona. Hii ni muhimu sana kukiri moyoni kwamba ltaisha. Hii ni ngumu kwasababu ya mazoea lakini jitahidi sana kutoka moyoni/akilini mwako kwamba wewe si wa kwanza kupata tatizo kama hili hivyo litaisha. Ukiwa na chembechembe tu cha mashaka kwamba hutapona, basi ni kweli kwamba hutapota. Hapa unacheza na akili yako, lazima uiambie akili yako kwamba I will be okay.

2) Acha kabisa, sio kujaribu tena hiyo kitu bali acha hata kufikiria kabisa. Unahitaji kukaa muda muda mrefu ili kurudisha 'nguvu' zako zilizopotea. Usiwaze masuala hayo kwa muda sasa, tafuta vitu ambavyo vitaku keep busy, fanya kazi, soma vitabu, fanya mazoezi n,k keep yourself busy kwa muda wa miezi kadhaa na polepole hali yako itaanza kurejea taratibu.

3) Jenga afya yako - kula vizuri, mlo ulio kamili kwa wakati, fanya mazoezi na pata muda wa kulala/kupumzika wa kutosha - ujenge afya yako. Epuka maisha au mazingira yatakayokupa msongo wa mawazo, jijengee mazingira ya furaha na uchangamfu.

4) Usiwe na haraka ya kutafuta mwanamke sasa hivi, kama ni mwanamke awe 'rafiki wa kawaida' na yasiwepo masuala ya ngono kwa sasa. Kama ni mwanamke awe aliyepevuka mwenye hekima ambaye hata akijua hali yako hatakuhukumu, unahitaji 'rafiki' atakayekupa support kwenye hali hii. Kama hapatikani, basi kwa sasa achana nao hadi utakapokuwa sawa.

Jiambie wewe si wa kwanza kuwa na tatizo kama hilo so don't worry you will be fine.
 
Tatigha

Tatigha

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Messages
1,708
Points
2,000
Tatigha

Tatigha

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2017
1,708 2,000
Hiyo shida wanaume tuliowengi tumepitia lakini baadae huisha lenyewe. Ila sasa unatakiwa uache kupiga punyeto na kuangalia porno
 
aretasludovick

aretasludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
5,887
Points
2,000
aretasludovick

aretasludovick

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
5,887 2,000
Acha punyeto, kula ushibe alafu fanya shuhuli zako kama kawaida.

Sio lazima mazoezi endapo ukijua nini,,,hutamaliza hata mwezi utaanza kuwa fiti.

Cha muhimu kula chakula bora tu huku ukifanya ukijiweka mbali na punyeto au upige mara moja kwa week!
Kuacha ghafla haiwezekani maana ukila vizuri baada ya siku 3 tu hamu ya kumwaga bao huwa inasoma 4G

Nenda ukipunguza kidogokidogo mpaka miezi ipite na hatimaye mwaka na miaka.

Narudia tena kukwambia kwamba, muathirika wa punyeto hawezi kuacha ghafla labda tu awe ana mwanamke wa kumfanyia mazoezi
 
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
2,105
Points
2,000
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
2,105 2,000
Wakuu.

Wakati wa mwanzo wa ujana wangu..nilifundishwa kitu kibaya,rafiki yangu mmoja aliyekuwa amenizidi umri alinipa ushauri ambao umeniharibia 'future' yangu kama mwanaume.

Wakati huo nikiwa natoka primary kwenda secondary, ni kipindi ambacho hisia za 'ngono' zilianza kushika kasi.Rafiki yangu ni mtu aliyekuwa busy na mademu...wakati huo sikupenda kujihusisha na mahusiano....lakini mazungumzo yalizungumzwa na marafiki mara zote yalihusu ngono....kipindi hicho ndipo ambapo video za porno zilishika kasi...wale waliojaliwa simu za 'memori' walijaza video hizo,baada ya skuli ni kujichimbia ghetto kuzitazama.

Hapo ndipo tatizo lilopoanzia,Kujichua!

Rafiki akanionesha kila aina ya upigaji puli.Kuanzia kutumia sabuni hadi mafuta.Tabia hii ilianza kuniathiri mimi kuliko yeye na wengine.Ilifikia kipindi sikuweza kulala bila kujichua,muda mwingine hadi mara tano kwa siku.

Kibaya zaidi,wakati fulani hakukuwa na sabuni wala mafuta,yaan ni uume na mkono wangu,kitandani tulilala wawili,mimi na mdogo wangu,kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja...dogo akilala tu!..zoezi linaanza,mkono na uume,kuna kipindi uume ulivimba...hivyo nikaapa kuacha.Lakini hazikupita siku nyingi nikarejea kulekule.

Nikiwa bafuni siwezi kutoka bila kujichua,usiku haukuchi bila kujichua,tens mara bila kilainishi.Wakati huo niliweza kwenda hata bao mbili bila uume kulala,baada kidogo mabadiliko yakaanza,bao la kwanza lilikuja baada ya sekunde kadhaa,uume unasinyaa,naendelea na mambo yangu...sijui ujinga gani...hali hii niliifurahia kwa kuwa niliridhika mapema na hivyo kuepusha uwezekano wa 'kufumaniwa' au kukaa bafuni muda mrefu.

Siku zikayoyoma,uume kusimama ni kwa mbinde,naangalia porno(kwenye simu yangu) ndiyo angalau 'kauume' kasimame,wakati wote huo wasichana wa nini kwa mfano,wakati raha najipa mwenyewe,baada ya kumaliza olevel,akili ndio inakuja...tayari nina tatizo...uume umesinyaa sana...sijui kwanini sikugundua mapema...kusimama ni kwa shida,tena ukisimama ni kwa muda mrefu unajikunyata tena....kuna kipindi niliogopa kutafuta 'demu',wa nini?nitamfanya na hali hii?

Nilisafiri nje ya nyumbani,huko ndiko nilipopata sehemu ya kufanya majaribio...hawanijui....nikawa nafika mshindo kwa sekunde kadhaa and the case closed.

Uume hausimami,nausimamisha kwa kukaza sana misuli ya tumbo,nikiiachia uume unalegea....

Kuna wakati nilipata msichana nikiwa safarini,nilishangaa uume ulisimama sana japo ukubwa umepungua sana...cha ajabu...ndani ya uke sikuhisi chochote cha tofauti...ni kama hisia hamna kabisa...uume umezoea mkono....nilitumia zaidi dakika kumi sikuhisi hata dalili ya kufika kileleni.Nilimuacha ndani(guest house) huyo binti na kuondoka zangu.

Sasa nina miaka 23,nimepata binti niliyetokea kumpenda sana,and she loves me the same....tuna miezi kumi tangu tuanze mahusiano.No Sex!

Nalijua tatizo langu....naogopa kuaibika.

Natamani sana siku za usoni nimuoe,nitamuoa!..ila itakuwaje???

Uume ninao...umepungua...ila kupungua sio tatizo kwangu...unasimama ila si kwa muda mrefu....

Sina wa kumlaumu...

Ila tatizo hili nitalitatuaje??
Hivi ni kwanini mumekua mukiaminishana kua kila mwenye tatizo ka nguvu zakiume ni kua inatokana na kujichua?

Mbona kuna sababu nyingi na kubwa zaidi ya tatizo hilo hua hamuzizingatii?
 
Kibishi

Kibishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
973
Points
1,000
Kibishi

Kibishi

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
973 1,000
Puchu ni kama kilevi, wengine inawaathiri kisaikolojia, wengine wanakuwa kawaida tu.
TIBA:
Acha kabisa nyeto, wanawake ndiyo watakaokusababishia uache nyeto.
CHA KUFANYA:
Tafuta demu uliyemzidi kiwango cha kujiamimi ambaye ukiwa naye unakuwa huna hofu yoyote, demu huyu awe anapatikana muda wowote ule unaotaka wewe. Kutana naye kila unaposikia hamu ya kupiga puchu au ya tendo la ndoa. Ukutane naye kila ukiwa na hamu kwa sababu, kama huna hamu, wakati wa tendo mzee anaweza kugoma halafu utazidi kuwa na msongo wa mawazo.
Kadri utakavyokuwa unafanya naye mapenzi mara kwa mara, ndivyo utakavyozidi kuona papuchi tamu kuliko puchu, utaipuuzia na kuiacha puchu, na kuimarika kiperformance na kisaikolojia.
Baada ya kumtumia huyo demu kama dawa, nenda kwa mademu wengine tofautitofauti. Ukishajiona umepona kabisa, rudi kwa mwanamke unayetaka kumuoa, funga naye ndoa.
 
dudupori

dudupori

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Messages
1,464
Points
2,000
dudupori

dudupori

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2012
1,464 2,000
Jiamini mkuu kaka yako nimetoka huko, tena mi Nilikua balaa kwenye hizo mambo Nilikua nanyetuka hadi kwenye daladala
Niliacha na sasa nimeoa wake wawili , nasimamia mzigo vizuri
Ila itachukua muda kukaa sawa, inabidi huyo demu wako awe mvumilivu, maana wengine wana maneno ya shombo, kuendea huwezi

Mi nilifanya mazoezi kwa mademu tofautitofauti, hadi nikawa sawa

Husisahau kugoogle mazoezi ya kuimarisha misuri ya uume, itakusaidia pia ila kikubwa ni kujikubali husiwe mnyonge kwenye shoo na wakati wa mwanzo cheza vizuri kwenye romance
Hahaaa kiongozi inabidi tukupe uwenyekiti CHAPUTA, unanyetuka hadi kwa daladala?
 
The Dark

The Dark

Member
Joined
Mar 25, 2019
Messages
55
Points
125
The Dark

The Dark

Member
Joined Mar 25, 2019
55 125
Hivi ni kwanini mumekua mukiaminishana kua kila mwenye tatizo ka nguvu zakiume ni kua inatokana na kujichua?

Mbona kuna sababu nyingi na kubwa zaidi ya tatizo hilo hua hamuzizingatii?
Nimeandika yaliyonisibu....sijui umenielewa
 
Forum statistics

Threads 1,296,485
Members 498,655
Posts 31,249,842
Top