Nitarudishaje "Uanaume" wangu?

Ni vizuri kama umekubali tatizo na dawa ya tatizo sio kulikimbia ni kulikabili. Jiamini na uamini ya kuwa unaeza kurudi katika hali yako ya mwanzo kabla haujangia kwenye hayo mambo.

Iko hivi kwa watu waliojiingiza katika kujichua uwezekano wa kutoka upo lakini ukiamua mwenyewe bila wewe mwenyewe kuamua ufikirie tu flani aliniambia niache hivyo hautaweza.

Jichanganye na watu tofauti tofauti sio wenye kupenda kuongelea mambo ya mapenzi na usipende kukaa mwenyewe pia usipende kuangalia porn au video zenye vichochezi ya wewe kurudi katika hiyo hali.

Jiulize kwanini fulani anadem wake mkali na anafanya nae mambo mimi ninaye lakini siwezi kutokana na hii hali yangu then ikatae kabisa fanya maamuzi bila hvyo utajikuta unaishia huko tu.

Uzuri hiyo kitu ukiamua wewe mwenyewe unaweza mazoezi pia yanachangia kukuweka bize maana hautawaza sana hayo mambo.

Pia ujitahidi wakati unaenda kuoga usikae muda mrefu ukijisafisha sehemu zako za siri maana ni kichochezi kimoja wapo au hata muda umepumzika usijishike sehem zako za siri ukiamua unaweza ila usipoamua utaishia kujilaumu kila siku na kuomba ushauri wakati wewe mwenyewe ndio tatizo.

Then ipo hivi kwa mtu anayejichua akiamua kuacha hyo kitu kwa takribani siku 40 basi huyo tayari ameshajinasua, jitahidi kupanga ratiba itakayokuweka bize ndani ya muda huo utafurahia mwenyewe.
 
Nakuhakikishia unapona kabisa,kila asubuh, chemsha maziwa ,glas moja,alafu chukua kitunguu swaum, punje kumi na tano zitwange au zisage, alafu tia kwenye maziwa ,kunywa kila asubuh, kabla hujala kitu, na jioni mda wa kulala siku saba
Wakuu.


Wakati wa mwanzo wa ujana wangu..nilifundishwa kitu kibaya,rafiki yangu mmoja aliyekuwa amenizidi umri alinipa ushauri ambao umeniharibia 'future' yangu kama mwanaume.

Wakati huo nikiwa natoka primary kwenda secondary, ni kipindi ambacho hisia za 'ngono' zilianza kushika kasi.Rafiki yangu ni mtu aliyekuwa busy na mademu...wakati huo sikupenda kujihusisha na mahusiano....lakini mazungumzo yalizungumzwa na marafiki mara zote yalihusu ngono....kipindi hicho ndipo ambapo video za porno zilishika kasi...wale waliojaliwa simu za 'memori' walijaza video hizo,baada ya skuli ni kujichimbia ghetto kuzitazama.

Hapo ndipo tatizo lilopoanzia,Kujichua!

Rafiki akanionesha kila aina ya upigaji puli.Kuanzia kutumia sabuni hadi mafuta.Tabia hii ilianza kuniathiri mimi kuliko yeye na wengine.Ilifikia kipindi sikuweza kulala bila kujichua,muda mwingine hadi mara tano kwa siku.

Kibaya zaidi,wakati fulani hakukuwa na sabuni wala mafuta,yaan ni uume na mkono wangu,kitandani tulilala wawili,mimi na mdogo wangu,kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja...dogo akilala tu!..zoezi linaanza,mkono na uume,kuna kipindi uume ulivimba...hivyo nikaapa kuacha.Lakini hazikupita siku nyingi nikarejea kulekule.

Nikiwa bafuni siwezi kutoka bila kujichua,usiku haukuchi bila kujichua,tens mara bila kilainishi.Wakati huo niliweza kwenda hata bao mbili bila uume kulala,baada kidogo mabadiliko yakaanza,bao la kwanza lilikuja baada ya sekunde kadhaa,uume unasinyaa,naendelea na mambo yangu...sijui ujinga gani...hali hii niliifurahia kwa kuwa niliridhika mapema na hivyo kuepusha uwezekano wa 'kufumaniwa' au kukaa bafuni muda mrefu.

Siku zikayoyoma,uume kusimama ni kwa mbinde,naangalia porno(kwenye simu yangu) ndiyo angalau 'kauume' kasimame,wakati wote huo wasichana wa nini kwa mfano,wakati raha najipa mwenyewe,baada ya kumaliza olevel,akili ndio inakuja...tayari nina tatizo...uume umesinyaa sana...sijui kwanini sikugundua mapema...kusimama ni kwa shida,tena ukisimama ni kwa muda mrefu unajikunyata tena....kuna kipindi niliogopa kutafuta 'demu',wa nini?nitamfanya na hali hii?

Nilisafiri nje ya nyumbani,huko ndiko nilipopata sehemu ya kufanya majaribio...hawanijui....nikawa nafika mshindo kwa sekunde kadhaa and the case closed.

Uume hausimami,nausimamisha kwa kukaza sana misuli ya tumbo,nikiiachia uume unalegea....

Kuna wakati nilipata msichana nikiwa safarini,nilishangaa uume ulisimama sana japo ukubwa umepungua sana...cha ajabu...ndani ya uke sikuhisi chochote cha tofauti...ni kama hisia hamna kabisa...uume umezoea mkono....nilitumia zaidi dakika kumi sikuhisi hata dalili ya kufika kileleni.Nilimuacha ndani(guest house) huyo binti na kuondoka zangu.

Sasa nina miaka 23,nimepata binti niliyetokea kumpenda sana,and she loves me the same....tuna miezi kumi tangu tuanze mahusiano.No Sex!

Nalijua tatizo langu....naogopa kuaibika.

Natamani sana siku za usoni nimuoe,nitamuoa!..ila itakuwaje???

Uume ninao...umepungua...ila kupungua sio tatizo kwangu...unasimama ila si kwa muda mrefu....

Sina wa kumlaumu...

Ila tatizo hili nitalitatuaje??
 
Pole sana mzee, ila ushauri uliopata juu ukiufata amini utakuwa poa kabisa.

Binafsi nilianza form1 mambo cha puchu ila sikufika stage yako chief, ulitakiwa kupiga kwa afya mimi nina warembo nawapa ipasavyo na siku moja moja nikiamua kukumbushia nakumbushia tu.
 
The Dark, Ushauri wangu upo hivi. Hisia zozote zinaendeshwa na ubongo. Ubongo uruhusu kila kitu kiweze kufanyika kwa wakati na muda sahihi.

Tatizo lako lipo kwenye brain centre ambao brain have already learnt on wat you should do wen having sexual desire. Hivyo basi cha kufanya unaweza kukutana na sexual cancellors waweze kuanza kukupatia brain and mind treatment psychologically.

It may take a long hour session in order the brain to learn again on sex exercise. Psychology treatments inaweza kuendana na baadhi ya madawa ya kuingizia hormone release which stimulate sexual arosal hata ukiwa na mpenzi wako( don't use viagra).

Sexual disorder Rx needs time and learning. Jitahidi mtafute pychologists hasa wa sex practices au unweza kwenda hospital kitengo cha pychiatrics huwa wana vitengo vya psychology treatements. Unaweza anzia hapo then Doctors will direct u what to do.

Sexual disorders are emerging rapidly in Tanzania. Researches shows atleast 5 men appear at the hospital with the same complain and more though many fail to explain it to Doctors.

Work on it!
 
Wakuu.

Wakati wa mwanzo wa ujana wangu nilifundishwa kitu kibaya, rafiki yangu mmoja aliyekuwa amenizidi umri alinipa ushauri ambao umeniharibia 'future' yangu kama mwanaume.

Wakati huo nikiwa natoka primary kwenda secondary, ni kipindi ambacho hisia za 'ngono' zilianza kushika kasi. Rafiki yangu ni mtu aliyekuwa busy na mademu. Wakati huo sikupenda kujihusisha na mahusiano, lakini mazungumzo yalizungumzwa na marafiki mara zote yalihusu ngono..

Kipindi hicho ndipo ambapo video za porno zilishika kasi, wale waliojaliwa simu za 'memori' walijaza video hizo. Baada ya skuli ni kujichimbia ghetto kuzitazama.

Hapo ndipo tatizo lilopoanzia, Kujichua!

Rafiki akanionesha kila aina ya upigaji puli. Kuanzia kutumia sabuni hadi mafuta. Tabia hii ilianza kuniathiri mimi kuliko yeye na wengine. Ilifikia kipindi sikuweza kulala bila kujichua, muda mwingine hadi mara tano kwa siku.

Kibaya zaidi, wakati fulani hakukuwa na sabuni wala mafuta,yaani ni uume na mkono wangu, kitandani tulilala wawili, mimi na mdogo wangu, kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja dogo akilala tu zoezi linaanza, mkono na uume, kuna kipindi uume ulivimba hivyo nikaapa kuacha. Lakini hazikupita siku nyingi nikarejea kule kule.

Nikiwa bafuni siwezi kutoka bila kujichua, usiku haukuchi bila kujichua, tenamara bila kilainishi. Wakati huo niliweza kwenda hata bao mbili bila uume kulala, baada kidogo mabadiliko yakaanza, bao la kwanza lilikuja baada ya sekunde kadhaa uume unasinyaa naendelea na mambo yangu. Sijui ujinga gani.

Hali hii niliifurahia kwa kuwa niliridhika mapema na hivyo kuepusha uwezekano wa 'kufumaniwa' au kukaa bafuni muda mrefu.

Siku zikayoyoma, uume kusimama ni kwa mbinde, naangalia porno(kwenye simu yangu) ndiyo angalau 'kauume' kasimame, wakati wote huo wasichana wa nini kwa mfano, wakati raha najipa mwenyewe.

Baada ya kumaliza O-level, akili ndio inakuja, tayari nina tatizo. Uume umesinyaa sana. Sijui kwanini sikugundua mapema.

Kusimama ni kwa shida, tena ukisimama ni kwa muda mrefu unajikunyata tena. Kuna kipindi niliogopa kutafuta 'demu', wa nini?Nitamfanya na hali hii?

Nilisafiri nje ya nyumbani, huko ndiko nilipopata sehemu ya kufanya majaribio. Hawanijui, nikawa nafika mshindo kwa sekunde kadhaa and the case closed.

Uume hausimami, nausimamisha kwa kukaza sana misuli ya tumbo, nikiiachia uume unalegea.

Kuna wakati nilipata msichana nikiwa safarini, nilishangaa uume ulisimama sana japo ukubwa umepungua sana. Cha ajabu ndani ya uke sikuhisi chochote cha tofauti. Ni kama hisia hamna kabisa, uume umezoea mkono.

Nilitumia zaidi dakika kumi sikuhisi hata dalili ya kufika kileleni. Nilimuacha ndani (guest house) huyo binti na kuondoka zangu.

Sasa nina miaka 23, nimepata binti niliyetokea kumpenda sana,and she loves me the same. Tuna miezi kumi tangu tuanze mahusiano. No Sex!

Nalijua tatizo langu, naogopa kuaibika.

Natamani sana siku za usoni nimuoe, nitamuoa! ila itakuwaje?

Uume ninao, umepungua ila kupungua sio tatizo kwangu. Unasimama ila si kwa muda mrefu.

Sina wa kumlaumu.

Ila tatizo hili nitalitatuaje?

Ushauri uliotolewa na wadau

---

---

---

---

---
Watu wengi wanahangaika na tiba ya upungufu wa nguvu za kiume ila mimi nitaongelea katika suala la kujichua tu (punyeto). Kumbuka mimi siyo daktari wala siuzi dawa. Hii ni elimu tunapeana kama wanaume
Amini hili suala la upungufu wa nguvu za kiume baada ya kuathirika na punyeto linatibika na mimi nimepona. Huu ni ushuhuda wangu 100%. Nilianza tabia ya kujichua baada ya kuangalia picha na video za utupu, nilijichua kwa muda mrefu na madhara yake yalikuwa haya
  • Nawahi kumaliza chini ya dakika 1
  • Uume unakuwa mdogo kama wa mtoto mdogo
  • Sina hisia na mwanamke. Ile hamu ya kusimamisha haipo ipo kwa mbali sana
  • Mapigo ya moyo kupungua hata kutokuwepo. Hii hutokea ambapo unapokuwa na hisia za kujamiana, mapigo hudunda haraka haraka kusukuma damu nyingi kupeleka kwenye uume. Hali hii hutoweka
  • Uume kusimama legelege, huwezi kusimamisha kama msumari kwa dakika 2 na kuendelea.
  • Ukisimamisha na ukapata msuguano kidogo sana, unaweza ukapizi ndani ya boksa. Unaweza ukawa unashikana na mwanamke kimahaba ila ukajikuta umemwaga hata haujavua nguo.
Unajua kuchanganyikiwa kwa mwanaume ni katika hali hii. Nilichanganyikiwa hasa. Nilichofanya
Nilienda hospitali moja ya private (Jina kapuni) huko Dodoma nikamuelezea dokta hivi
1. Nawahi kumaliza, chini ya dakika moja
2. Mimi ni muathirika wa punyeto. Nilikuwa najichua
Watu wengi wanashindwa kupata matibabu kwasababu
A. Hawaendi katika hospitali kubwa. Unatakiwa uende hospitali kubwa za serikali au binafsi
B. Kutojielezea vizuri. Hawatoi maelezo yaliyojitosheleza.
C. Uelewa wa daktari na jinsia. Ukikutana daktari kipanga atakuandikia dawa nzuri na pia angalia jinsia hasa mwanaume.
D. Aibu. Acha kuwa na aibu hayo ndiyo mashai yako
Daktari aliniandikia dawa 4 ( majina kampuni) ambazo zilinigharimu kiasi cha 60,000 za kitanzania. Dawa mbili hazikuwepo hospitalini, mbili zingine nilinunua kwenye duka la dawa lililo jirani na hospitali hiyo. Mpaka leo risiti zake za dawa ninazo. Nimewekea lamination kabisa
Nilitumia dawa kwa miezi 3, ilikuwa 2015-06-06. Niliacha kujichua na kuangalia picha za X.
Baada ya kutumia dawa hizi niliona mabadiliko haya
1. Uume ulirudi katika hali yake ya awali. Ulikuwa mkubwa
2. Nilianza kusimamisha mpk unauma. Nasimamisha msumari
3. Nilianza kupata hisia ya kujamiana
4. Niliona mapigo ya moyo yanaenda mbio, moyo kusukuma damu nyingi kuepeleka kwenye uume.
Baada ya hapo nilianza kutumia asali ya nyuki wakubwa na wadogo pia. Nilitumia kama wiki 3 hivi. Asubuhi nakunywa vijiko 3 mpk 4, mchana na usiku. Kuna wakati nakunywa asali iliyojaa kwenye kichupa cha milimilita 300 kwa mara moja, kuna wakati natumia kulia na ugali.
Nikaja kutumia dawa (jina kapuni). Nilimeza kidonge kimoja tu kwa usiku mmoja na sijawahi kutumia tena mpaka leo hii. Kinauzwa 1500 mpaka 3500 kulingana na mkoa
Nikianza kupiga show natumia dakika 22 mpaka 30, hamu napata, kwa siku naweza kupiga show nyingi na simwagi mapema, naenda style zote. Kuna wakati sili chakula kwa wakati, maji sinywi kwa wakati na sifanyi mazoezi ila show napiga mpaka shemeji yenu anadai amechoka.
Unayesoma soma comment hii, matibabu ya kweli yapo hospitali. Nenda hospitalini. Ukapate tiba na acha kujichua. Siuzi dawa wala siyo daktari. Mimi ni mhanga kama ulivyo wewe tu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom