Nitarudishaje "Uanaume" wangu?


D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
2,092
Points
2,000
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
2,092 2,000
Nimeandika yaliyonisibu....sijui umenielewa
Ulichoandika ni kua na confidence ya moja kwa moja ya kuwa tatizo lako linatokana kujichua.
Suali ni kipi kilichokuthibitishia kua tatizo lako linatokana na kujichua?
 
Sir Carter

Sir Carter

Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
42
Points
125
Sir Carter

Sir Carter

Member
Joined Sep 7, 2017
42 125
Ni vizuri kama umekubali tatizo na dawa ya tatizo sio kulikimbia ni kulikabili.
Jiamini na uamini ya kuwa unaeza kurudi katika hali yako ya mwanzo kabla haujangia kwenye hayo mambo, iko hivi kwa watu waliojiingiza katika kujichua uwezekano wa kutoka upo lakini ukiamua mwenyewe bila wewe mwenyewe kuamua ufikirie tu flani aliniambia niache hv hautaweza, jichanganye na watu tofauti tofauti sio wenye kupenda kuongelea mambo ya mapenzi na usipende kukaa mwenyewe pia usipende kuangalia porn au video zenye vichochezi ya wewe kurudi katika hiyo hali.
Jiulize kwanini flani anadem wake mkali na anafanya nae mambo mimi ninae lakini siwezi kutokana na hii hali yangu then ikatae kabisa fanya maamuzi bila hvyo utajikuta unaishia huko tu, uzuri hyo kitu ukiamua wewe mwenyewe unaweza mazoezi pia yanachangia kukuweka byze maana hautawaza sana hayo mambo pia ujitahidi wakati unaenda kuoga usikae muda mrefu ukijisafisha sehemu zako za siri maana ni kichochezi kimoja wapo au hata muda umepumzika usijishike sehem zako za siri ukiamua unaweza ila usipoamua utaishia kujilaumu kila siku na kuomba ushauri wakati wewe mwenyewe ndio tatizo.
Then ipo hv kwa mtu anayejichua akiamua kuacha hyo kitu kwa takribani siku40 basi huyo tayari ameshajinasua, jitahidi kupanga ratiba itakayokuweka bize ndani ya huo mda utafurahia mwenyewe...
 
papason

papason

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
2,880
Points
2,000
papason

papason

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
2,880 2,000
yaani kwa miaka yako 23 unashindwa kusimamisha mboo? aloo sasa hili ni janga la kitaifa yaani hata vijana wadogo wanakumbana lano, binafsi nilipokuwa na miaka 25 dushelele langu lilikuwa linasimama kama chuma, yaani nikipanda kifuani mwa mmama yoyote yule hata kama ana lambo lazima apige kelele na kuomba msaada.........
 
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Messages
1,791
Points
2,000
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2014
1,791 2,000
Kwahiyo umekuwa hanithi? Tatizo lako ni la kisaikolojia tu wala hakuna kingine!
 
screpa

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
7,370
Points
2,000
screpa

screpa

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
7,370 2,000
Mimi nimepiga pull sekondari hadi chuo, na hadi sasa nastua mara mojamoja japo nimeoa,ila still kwenye show nasimamia kucha. Jiamini tu mdogowangu,tafuta wataalamu saikolojia utarudi kwenye ubora wako
 
Kamwene

Kamwene

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Messages
1,143
Points
2,000
Age
21
Kamwene

Kamwene

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2016
1,143 2,000
Mimi nimepiga pull sekondari hadi chuo, na hadi sasa nastua mara mojamoja japo nimeoa,ila still kwenye show nasimamia kucha. Jiamini tu mdogowangu,tafuta wataalamu saikolojia utarudi kwenye ubora wako
 
smigo4u

smigo4u

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2015
Messages
2,190
Points
2,000
smigo4u

smigo4u

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2015
2,190 2,000
Umejuaje kama umepungua na wakati ulikuws unakuwa bado?
 
confession

confession

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2019
Messages
231
Points
500
confession

confession

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2019
231 500
yaani kwa miaka yako 23 unashindwa kusimamisha mboo? aloo sasa hili ni janga la kitaifa yaani hata vijana wadogo wanakumbana lano, binafsi nilipokuwa na miaka 25 dushelele langu lilikuwa linasimama kama chuma, yaani nikipanda kifuani mwa mmama yoyote yule hata kama ana lambo lazima apige kelele na kuomba msaada.........
Kumbe nao huu ni msaada. Kuwa serious na matatizo ya watu
 
The Dark

The Dark

Member
Joined
Mar 25, 2019
Messages
55
Points
125
The Dark

The Dark

Member
Joined Mar 25, 2019
55 125
Ulichoandika ni kua na confidence ya moja kwa moja ya kuwa tatizo lako linatokana kujichua.
Suali ni kipi kilichokuthibitishia kua tatizo lako linatokana na kujichua?
Mkuu mimi ndiyo najua
 
Papaa Kinyani

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Messages
1,486
Points
2,000
Papaa Kinyani

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2013
1,486 2,000
Wakuu.


Wakati wa mwanzo wa ujana wangu..nilifundishwa kitu kibaya,rafiki yangu mmoja aliyekuwa amenizidi umri alinipa ushauri ambao umeniharibia 'future' yangu kama mwanaume.

Wakati huo nikiwa natoka primary kwenda secondary, ni kipindi ambacho hisia za 'ngono' zilianza kushika kasi.Rafiki yangu ni mtu aliyekuwa busy na mademu...wakati huo sikupenda kujihusisha na mahusiano....lakini mazungumzo yalizungumzwa na marafiki mara zote yalihusu ngono....kipindi hicho ndipo ambapo video za porno zilishika kasi...wale waliojaliwa simu za 'memori' walijaza video hizo,baada ya skuli ni kujichimbia ghetto kuzitazama.

Hapo ndipo tatizo lilopoanzia,Kujichua!

Rafiki akanionesha kila aina ya upigaji puli.Kuanzia kutumia sabuni hadi mafuta.Tabia hii ilianza kuniathiri mimi kuliko yeye na wengine.Ilifikia kipindi sikuweza kulala bila kujichua,muda mwingine hadi mara tano kwa siku.

Kibaya zaidi,wakati fulani hakukuwa na sabuni wala mafuta,yaan ni uume na mkono wangu,kitandani tulilala wawili,mimi na mdogo wangu,kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja...dogo akilala tu!..zoezi linaanza,mkono na uume,kuna kipindi uume ulivimba...hivyo nikaapa kuacha.Lakini hazikupita siku nyingi nikarejea kulekule.

Nikiwa bafuni siwezi kutoka bila kujichua,usiku haukuchi bila kujichua,tens mara bila kilainishi.Wakati huo niliweza kwenda hata bao mbili bila uume kulala,baada kidogo mabadiliko yakaanza,bao la kwanza lilikuja baada ya sekunde kadhaa,uume unasinyaa,naendelea na mambo yangu...sijui ujinga gani...hali hii niliifurahia kwa kuwa niliridhika mapema na hivyo kuepusha uwezekano wa 'kufumaniwa' au kukaa bafuni muda mrefu.

Siku zikayoyoma,uume kusimama ni kwa mbinde,naangalia porno(kwenye simu yangu) ndiyo angalau 'kauume' kasimame,wakati wote huo wasichana wa nini kwa mfano,wakati raha najipa mwenyewe,baada ya kumaliza olevel,akili ndio inakuja...tayari nina tatizo...uume umesinyaa sana...sijui kwanini sikugundua mapema...kusimama ni kwa shida,tena ukisimama ni kwa muda mrefu unajikunyata tena....kuna kipindi niliogopa kutafuta 'demu',wa nini?nitamfanya na hali hii?

Nilisafiri nje ya nyumbani,huko ndiko nilipopata sehemu ya kufanya majaribio...hawanijui....nikawa nafika mshindo kwa sekunde kadhaa and the case closed.

Uume hausimami,nausimamisha kwa kukaza sana misuli ya tumbo,nikiiachia uume unalegea....

Kuna wakati nilipata msichana nikiwa safarini,nilishangaa uume ulisimama sana japo ukubwa umepungua sana...cha ajabu...ndani ya uke sikuhisi chochote cha tofauti...ni kama hisia hamna kabisa...uume umezoea mkono....nilitumia zaidi dakika kumi sikuhisi hata dalili ya kufika kileleni.Nilimuacha ndani(guest house) huyo binti na kuondoka zangu.

Sasa nina miaka 23,nimepata binti niliyetokea kumpenda sana,and she loves me the same....tuna miezi kumi tangu tuanze mahusiano.No Sex!

Nalijua tatizo langu....naogopa kuaibika.

Natamani sana siku za usoni nimuoe,nitamuoa!..ila itakuwaje???

Uume ninao...umepungua...ila kupungua sio tatizo kwangu...unasimama ila si kwa muda mrefu....

Sina wa kumlaumu...

Ila tatizo hili nitalitatuaje??


Pole sana ndg. Hiyo hali inawakuta vijana wengi sana, na wengi tumewasaidia. Nipigie au njoo whatsapp, 0715274727
 

Forum statistics

Threads 1,295,911
Members 498,475
Posts 31,227,877
Top