mnafiki ni mm au wewe na akina mbowe wako? Kama analipwa mshahara na chama (uwenyekt wa) ,selikali (ubunge), na bado anapokea pesa za akina rostam, mkono, lowasa, n.k. Kukihujumu chama, uzalendo wake uko wapi? Kiongozi gani ananyamazia matatizo ya wananchi kama vile kupanda kwa bei za usafiri, umeme, n.k? Kiongozi gani wa chama kinachotaka ridhaa ya wananchi kuingia ikulu huku akikaa kimya kuhusu wabunge kujilipa kinyemela 16o milion?
Mtaji wake ni upi kama anapuuza haya? Aibu yenu wahafidhina> hasara yenu kisiasa.
Sasa nimekujua. wewe wala sio na hujawahi kuwa CDM. Buku 7 timu at work. Nenda kashike kuta za waarabu uko,tuachie CDM yetu.