Nitarudisha kadi ya CHADEMA haraka sana...

Nitarudisha kadi ya CHADEMA haraka sana...

Mnafiki mkubwa wewe, rudisha na nenda kwa magamba kwanza inaonekana wewe ni MZIGO ndani ya CDM kama kweli ni mwanachama. Pambaf!
 
Toka nizaliwe mbowe,slaa,lema, lissu na wengineo kwani mimi katk kazi na mchango wangu kwa cdm sijawahi kulipwa wala hongo kwa mafisadi n.k!!

Ni hatari sana!
0766353543
pole sana kiongozi hakika hicho chama ni Saccos ya wachache na kimeundwa kwa misingi ya kuuwanufaisha haohao wachache, karibu chama cha kizalendo hutajuta maana kila mtu ana haki
 
ndg yangu nakupa pole, ulikosea njia kwabahati mbaya, njua muda wa miaka 14 jasho lako limetafunwa na akina mbowe, slaa, lisu; mnyika, wenje,lema shoga. Pole sana. Wapotezee kuanzia sasa.

mkuu mm nimepiga mzigo ndani ya cdm lengo chama kisimame ili watu wakubali kukipa ridhaa kushika dola, nimekata tamaa sana hasa baada ya kuona kuwa chama ni mradi wa akina mbowe huku wengine tunaishia kuchungulia nje ya pazia!

Hebu angalia mbowe akampa kimada wake ulaji ( ubunge viti maalumu), ma-lissu yako mawili bungeni, bado wavimba macho wanafikiri kuwa cdm ni ya watu!
 
Mnafiki mkubwa wewe, rudisha na nenda kwa magamba kwanza inaonekana wewe ni MZIGO ndani ya CDM kama kweli ni mwanachama. Pambaf!
baada ya kumusaidia unaanza kumutukana ameweka namba ya simu hapo mpigie.
 
Toka nizaliwe sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa tofauti na cdm.

Nilijiunga chadema mwaka 2000 na nimefanya makubwa ktk chama kwenye eneo langu: Kwa mchango wangu na wengine, cdm imekuwa ikishinda toka ngazi ya kitongoji hadi rais: Tulinyakua vitongoji vitatu kati ya vinne, m/kiti wa serikali ya kijiji,diwani na mbunge.hata mgombea urais wa cdm dr slaa alimshnda kikwete ktk ngazi ya kijiji changu, kata yangu, tarafa na wilaya niliko. Japo mchango huu kwa wahafidhina ni upuzi mtupu!

Ninaipenda chadema kuliko mbowe,slaa,lema, lissu na wengineo kwani mimi katk kazi na mchango wangu kwa cdm sijawahi kulipwa wala kukopeshwa na saccos ya cdm. Ni bure! Ila mbowe, slaa n.k wanalipwa mishahara, wanajilipa posho, wanajikopesha bila riba pesa ya chama, na pia wanachukua hongo kwa mafisadi n.k!!

Siku katiba ikiridhia mgombea binafsi nitarudisha kadi ya cdm. Inauma kuona cdm imesimama kwa jasho la wanyonge, halafu wakubwa wamekigeuza kuwa mradi wao na vimada wao!
Ni hatari sana!
0766353543

Wewe ni Mwongo... HOJA zako ni PRO - CHAMA CHA MAFISADI; Sijui kwanini UNATAKA kuishushia HADHI - JAMII FORUMS - na kupokea Malipo toka LUMUMBA @ the time Our National Coffers are EMPTY...

Kweli Unaijali NCHI YAKO?? Nilidhani utaliweka TAIFA LAKO KWANZA na FITINA BAADAYE hence UPUUZI huu wa Uongo wa KI-UNDUMILAKUWILI hautautumia 4 the case of FEEDING your ETERNAL STOMACH...

c.c
BABAAKUBWA
 
Vita vya panzi...............! Fanya uonavyo kwani hatma ya maisha yako yapo mikononi mwako, umezaliwa pekeyako na utakufa pekeyako na utazikwa pekeyako!

Hujachelewa ndugu yangu bado una muda, karibu nyumbani, mtu Kwao bwana! Hakuna matusi wala ukabila, udini wala umangimeza!
 
Karibu nyumbani, kura yako ni muhimu sana kwetu! Tumekusamehe kwa maana ulikuwa hujuwi ulitendalo!

Vumilia matusi ndugu yangu! Utatukanwa sana lakini yote heri. Karibu nyumbani
 
Toka nizaliwe sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa tofauti na cdm.

Nilijiunga chadema mwaka 2000 na nimefanya makubwa ktk chama kwenye eneo langu: Kwa mchango wangu na wengine, cdm imekuwa ikishinda toka ngazi ya kitongoji hadi rais: Tulinyakua vitongoji vitatu kati ya vinne, m/kiti wa serikali ya kijiji,diwani na mbunge.hata mgombea urais wa cdm dr slaa alimshnda kikwete ktk ngazi ya kijiji changu, kata yangu, tarafa na wilaya niliko. Japo mchango huu kwa wahafidhina ni upuzi mtupu!

Ninaipenda chadema kuliko mbowe,slaa,lema, lissu na wengineo kwani mimi katk kazi na mchango wangu kwa cdm sijawahi kulipwa wala kukopeshwa na saccos ya cdm. Ni bure! Ila mbowe, slaa n.k wanalipwa mishahara, wanajilipa posho, wanajikopesha bila riba pesa ya chama, na pia wanachukua hongo kwa mafisadi n.k!!

Siku katiba ikiridhia mgombea binafsi nitarudisha kadi ya cdm. Inauma kuona cdm imesimama kwa jasho la wanyonge, halafu wakubwa wamekigeuza kuwa mradi wao na vimada wao!
Ni hatari sana!
0766353543

haujawai kuwa mwanachadema wewe !
 
Kwa jinsi ulivyo na akili nyingi hivi na unajitambua huwezi kudumu chadema
 
mnafiki ni mm au wewe na akina mbowe wako? Kama analipwa mshahara na chama (uwenyekt wa) ,selikali (ubunge), na bado anapokea pesa za akina rostam, mkono, lowasa, n.k. Kukihujumu chama, uzalendo wake uko wapi? Kiongozi gani ananyamazia matatizo ya wananchi kama vile kupanda kwa bei za usafiri, umeme, n.k? Kiongozi gani wa chama kinachotaka ridhaa ya wananchi kuingia ikulu huku akikaa kimya kuhusu wabunge kujilipa kinyemela 16o milion?
Mtaji wake ni upi kama anapuuza haya? Aibu yenu wahafidhina> hasara yenu kisiasa.

Kwa akili ya namna hii wewe sio Chadema kabisa, bali ni kibaraka wa chama cha mizigo na mafisadi.
 
si uende unamtishia nani nyau, chadema ni chama imara sana hakitishwi na mjinga mjinga yeyote,chini ya uongozi wa kamanda mkuu mbowe, hakuna hasiye kijua chadema mkubwa hata mdogo, nasikia zito mwigamba mkumbo,wana harakati za chama kipya nendauko, mtuachie chama chetu na viongozi wetu wa pambanaji, wanao wajibika mpaka magamba wanakosa usingizi, nendeni mkajaribu kwingine sio cdm,

Wewe kondom ya Mbowe ambayo huitumia kwa viti maalumu huko Dubai na kuwazuia wasifanye kazi walizotumwa na serikali kumbuka kuwa chama ni watu
 
Sasa namba ya simu unaweka ya nini, subiri basi ccm wakurushie mpesa
 
Back
Top Bottom