Nitapiga kelele kupinga ukatili huu

Nitapiga kelele kupinga ukatili huu

pierre tall

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,364
Reaction score
4,048
Aisee ccm mmefanya vitu vingi vipande ila hili la hadi chips mayai kupanda nitapiga kelele...sasa tutahonga nini?chips mayai 2500/=...hakyanan imeniuma sana jaman😏😜
 
Si mnunue viazi mpike wenye........na mfuge kuku wa mayai.......Ili mle chakula bora.....vijana mnapenda sana shortcut........
 
Si mnunue viazi mpike wenye........na mfuge kuku wa mayai.......Ili mle chakula bora.....vijana mnapenda sana shortcut........
sisi kwetu mwanaume kupika ni mwiko
 
unaonga chips mayai!?? kufanya mapenzi na watoto chini ya miaka 18 ni kifungo kisichopungua miaka 30
 
Si mnunue viazi mpike wenye........na mfuge kuku wa mayai.......Ili mle chakula bora.....vijana mnapenda sana shortcut........

Wanawake wanasema chips zakununuliwa zina ladha yake tofaut na zile unapika mwenyewe...
 
wanaume mkila chips mnashiba?

wanalalamika ndo msosi mkuu wa vitoto vya vyuo wanahonga fanta chips yai usafiri ni boda guest pamoja na kunguni wake na utangotango 15000... Hahaaaaaaaa
 
wanalalamika ndo msosi mkuu wa vitoto vya vyuo wanahonga fanta chips yai usafiri ni boda guest pamoja na kunguni wake na utangotango 15000... Hahaaaaaaaa

Hahahahaahahahah....ni kwel mkuu,kila mtu anajikuna anapoweza
 
Jirani heri ufanye mambo ya Nape tu bafuni na geisha yako aaaaah mkono mkono mkono shaaaaaaaaa hichoooo haitaji garama

Hahahahhahahahahahah...wanasema siku ya mwisho wa dunia eti kama mtu alikuwa anakula nyeto mkono unakuwa umevimba kama mimba...sasa si itakuwa aibu hiyo jirani
 
Hahahahhahahahahahah...wanasema siku ya mwisho wa dunia eti kama mtu alikuwa anakula nyeto mkono unakuwa umevimba kama mimba...sasa si itakuwa aibu hiyo jirani

Uvimbe tu jirani utahongaje chips ya 2500 hapana kwakweli hata mie hilo nalipinga, besdei yako lini vile nikuletee zawadi ya geisha teh
 
Back
Top Bottom