kizzawarlesy
Member
- Dec 10, 2015
- 24
- 4
Ni salama wadau?,,mwenye kuifahamu hiyo simu inaitwa motorola "X" (moto x), nahitaji trei ya laini yaani kichuma kinachobeba laini mwenye kuwa nacho anichek inbox tuyajenge nina shida nacho saana yani naombeni msaada waungwana.