Nitapataje AK 47 kama ADAM MALIMA?

binadam ni wabaya kuliko wanyama swty . Ukizingatia wezi wa Arusha wote wana silaha kali lazima tujihami . Nategemea kuongeza na mabomu ya kurusha kwa mkono.

kuna ishu ya majambazi ilitokea Arusha....siku hiyo ndio niliamini tunahitajika kupaki vifaru uwani....
 
Kwa hiyo unataka kusema kuna sheria mbili mbili Tanzania hii kwa jambo lile lile? I mean endapo Polisi watasema ni halali, je basi sasa ni halali kwa watu wote wanaweza kupewa? Maana kwa lugha rahisi hiyo ni silaha ya vita....na ndo maana zinatumika jeshini. Sasa Malima anajeshi? Na kama ana jeshi yeye analinda nchi gani?
 
Mbona ujaulizia risasi?? Usije kuwa unatuzuga tu uenda ikawa labda na wewe ni kaka jambazi una tafuta kitendea kazi,
 
kuna ishu ya majambazi ilitokea Arusha....siku hiyo ndio niliamini tunahitajika kupaki vifaru uwani....

itakuwa ni ile ya njiro . Ilikuwa kiboko .
 
hasha;3474556]
AK47[/QUOTE]

hapa hata policcm wakiskia mlio wa hii huwa wanakimbia kwanza na kusubiri kwa waondoke ndio waje
 
hi unaweza kupigwa risasi tano na ukapona . Ila shortgun ukipigwa moja lazima urudi kwa muumba.

mkuu si kweli, soma sifa za hii kitu na unajua ni kwa nini inatumika kwenye majeshi mengi sana duniani?
 
hata upate ant-missiles utaibiwa tu !!!!!!!
 
hi unaweza kupigwa risasi tano na ukapona . Ila shortgun ukipigwa moja lazima urudi kwa muumba.

Si kweli.., hii kama target yupo ndani ya effective range yake 400mts, huwezi pona.angalizo, risasi zikupate kwny maeneo muhimu huponi, ila ukiwa nje ya effective range kuna uwezekano wa kupona..., same applies to all small and medium arms
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…