ndegeulaya
Member
- Apr 26, 2011
- 74
- 13
![]()
AK47
Kwani hii kitu ndo AK-47, au ni SMG wakuu !
![]()
AK47
Kwani hii kitu ndo AK-47, au ni SMG wakuu !
Unaogpa kwani kosa?mbona malima anayo?
![]()
AK47
Afu na hii ndo ipi wakuu, mbona sioni tofauti?
![]()
AK47
sikujua kama uko jf!Mi nshawahi igusa hiyo mikitu nilikuwa nafanya kazi na "the real african american" kwenye mashamba ya kahawa uko Mbozi nikawa nambebea, ukiibec hiyo unajisikia a man and half
ila kwa hizi semi-automatic rifles eg smg, ak 47, m16,,, kiboko yao ni m4.., very light, super accurate,, na butt(kitako) yake inakua na coil (re-coil system) ili ku-absorb shock wakati wa kumwaga njugu,,,
Kwa asiyezifahamu ni zile wanabeba mabody-guard wa marekani wakiwa kwny high profile guard (yani pale wasipobeba uzi gun zao ndani ya suti)...,
hivi ak 47 na m16 ipi kali zaidi?nani anataka Alexandrei Kalashnikov 47? Pia kama kuna mwingine anataka model tofauti ani pm
arifu we sema tu unataka ipi kati ya ak 47 na m16 coz zote zinapatikana!hivi ak 47 na m16 ipi kali zaidi?
ila kwa hizi semi-automatic rifles eg smg, ak 47, m16,,, kiboko yao ni m4.., very light, super accurate,, na butt(kitako) yake inakua na coil (re-coil system) ili ku-absorb shock wakati wa kumwaga njugu,,,
Kwa asiyezifahamu ni zile wanabeba mabody-guard wa marekani wakiwa kwny high profile guard (yani pale wasipobeba uzi gun zao ndani ya suti)...,
hivi ak 47 na m16 ipi kali zaidi?