Nitapataje AK 47 kama ADAM MALIMA?

Hivi hiyo AK 47 unweza hata kuitumia wakati jeshi la kujenga taifa limefutwa hatunatena mafunzo ya kivita?
 
Kula viti moto kama adamu aalivyokula kule moro sema akukipoooza kikamuunguza
 
Uyo ni Malima,je JK si analala na kifanu chumbani,nendeni magogoni muangali vizuri kama hamja kikuta.
 
Uyo ni Malima,je JK si analala na kifaru chumbani,nendeni magogoni muangali vizuri kama hamja kikuta.
 
Ndugu, mimi huwa natembea usiku kutokana na majukumu yangu binafsi. Nataka kupata AK 47 kwa sababu maadui wanaweza kuja na silaha nzito. Mimi najali sana uhai wangu naomba anayejua utaratibu wa kupata hiyo bunduki kama ile ya malima. Mwanzoni nilidhani ni majeshi katika nchi hii yanaruhusiwa kumiliki kumbe hata sisi raia tunaruhusiwa?tafadhali naombeni utaratibu ili nipate moja.

Kama ni kweli Malima anamiliki AK basi CCM waache kuanzia leo kutuimbia nyimbo za Tanzania nchi ya amani, hakuna nchi ya amani popote duniani inayomilikisha raia wake bunduki za kivita!
 
silaha zote hizo za nini!njoo kwa babu huku anakupa bomu la nyuki; akitaka mtu kukudhuru unamrushia tu..
 
malima alikuwa na smg na sio akalashnikov 47...

Sijui sheria kama imebadilishwa lakini mtu binafsi mara nyingi hawaruhusu kumiliki machine gun, hasa iliyo automatic kama ak 47. Na hata hii ya malima kuwa na sub machine gun inahitaji maelezo kutoka kwa policcm kama ni halali ingawa wataturubuni kuwa ni halali

wakuu, mi nahitaji kujua vema kuhusu haya makitu: Machine gun, sujui tena sub-machine gun, afu ak-47, sijui tena kuna na "automatic" ak-47 etc etc
kwa mwenye kuyajua vizuri kabisa em anijuze tafadhali, nataka kujiajiri kwenye hii mambo.
 
Back
Top Bottom