Nitapata wapi Video za Mabala the Farmer na Hawa the Bus Driver?

Huyo junior na Nicole waambie wajisomeee wasipende vya ma CD na ma DVD

Akifika la saba atamwambia mwl nataka niingie kwa pepa na calculator unless otherwise sifanyi pepa
 
Inawezekana kabisa akina Baba Junior wakawa na akili mbovu kabisa kuliko akina junior wenyewe....
 
Back
Top Bottom