Nenda pale Millenium Makumbusho kuna internate cafe inaitwa Stambuli karibu na Steers kuna architecture mmoja mkali anaitwa Kevin Mosha huwa mara nyingi anakuwa hapo kwenye benchi la nje kwenye hiyo cafe akifanya vitu vyakeWna JF nisaidieni, nipo dar nina shida na ramani ya nyumba, nitapata wapi? naomba msaada wenu
Nenda pale Millenium Makumbusho kuna internate cafe inaitwa Stambuli karibu na Steers kuna architecture mmoja mkali anaitwa Kevin Mosha huwa mara nyingi anakuwa hapo kwenye benchi la nje kwenye hiyo cafe akifanya vitu vyake
Kaka kwanini nimshauri vibaya kama huamini hebu google huyo jamaa ndio utaona kazi zake au nenda pale chuo cha ardhi kaulize hilo jina,pia kwa taarifa yako usione watu wanashinda pale wale karibu wote wana proffesional zao na wana kazi zao za nguvu,nadhani umetembea duniani,watu huwa na sehemu mbali mbali za kukutania mbali ya ofisi zao ikiwemo kwenye mikahawa ambayo huwa never miss kuwakosaarchitecture gani anashinda nje ya internet cafe mshauri vizuri usimuuzie mbuzi kwenye gXXXXA
Asante sana kwa hii siteMbona zinapatikana sana kwenye internet? gonga hapa: Find Over 16,000 House Plans in every size and style at AmazingPlans.com utaziona nyingi tu. Ila kama ulivo shauriwa, ukisha pata ile unayo itaka pata ushahuri wa architect kabla ya kuanza ujenzi. good luck
kama uko serious unaweza fika hapa chuo cha Ardhi au tuwasiliane kwa namba 0783838338 maswala ya bei tutaelewana..
Kazi njema