Nitapata wapi plastic surgeon hapa Tanzania?

Nitapata wapi plastic surgeon hapa Tanzania?

Frm ur own words, inaonesha kwamb ur inner-being haku intend kuyasema uloyasema...Afu unakuja hapa tena unasema nimekua 'Mind Reader' unanichosha kwakweli...nikishndwa kukuvumilia nitazima data...km ntakumudu tutendelea...

Sent using Jamii Forums mobile app

MNhhh sidhani kama mimi ndio sikuelewi, wewe ndio hunielewi sababu umeamua/deliberately kutonielewa,tuendelee tu nitakufundisha taratibu ku conform kwenye JF family
 
MNhhh sidhani kama mimi ndio sikuelewi, wewe ndio hunielewi sababu umeamua/deliberately kutonielewa,tuendelee tu nitakufundisha taratibu ku conform kwenye JF family

JPM kawafanya watu wadate ile mbaya!
 
Kuna clinic ya cloud9 ipo pale dar free market..tho sijui kama wanafanya hiyo huduma 100% ila jaribu kuwaulizia maana nahisi wanahusika kidogo

Kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa washanipa nilichokua nakitaka. Skuhitaji ushaur wa whether nifanye surgery au nisifanye...
Mi ndo nimeishia hapa. Hamtaiona koment nyngne tna...endeleeni kuichafua character yng! Ciao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is true mkuu!
Kwahy u'v found my incompetence in dealing wth 'small stuff' km ku fight wth scars?? Hahah

I've a well balanced 'software' (Akili, confidence, morals, u name the rest!) installed in my 'hardware' (body).
Nina options mbil...raising my self-esteem ili ni cope wth this situation ambayo imebadili sura ilozoeleka for almost 20+ yrs (kw uzembe wa mtu mmoja!)...au nifanye surgery kupunguza impact ya scar...

Kwan ni dhambi kufany machaguz on ur favor?

Sent using Jamii Forums mobile app

What really happened buddy?

Are you totally incapable of embracing those scars?
 
Habar wana JF!

Naomba jibu kwa yeyote mwenye kufahamu hospital ambayo ina good record ya kufanya plastic surgery au hata plastic surgeon unaemfahamu ambae ana good record ya kufanya hizo surgeries (esp, LASER SKIN RESURFACING)!

Kama kuna anayefahamu hiyo hosptal/plastic surgeon aliyepo hapa Tanzania naomba kupata contacts au physical address yake au ya hospital!

Niwashukuru in advannce!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Samahani,Ulifanikiwa Katika Hili Uliloomba Msaada?
Nna Tatizo Kama Lako,Kama Ulifanikiwa Tafadhali Nijulishe Wapi,Na Gharama Zipoje,Ikiwezekana Kama Ntampata Muhusika Ili Iwe Rahisi.
 
Hawa washanipa nilichokua nakitaka. Skuhitaji ushaur wa whether nifanye surgery au nisifanye...
Mi ndo nimeishia hapa. Hamtaiona koment nyngne tna...endeleeni kuichafua character yng! Ciao

Sent using Jamii Forums mobile app
bila shaka ulifanikiwa mkuu hilo tatizo lako limepata wengi ni rahisi kuongelea jambo kwa dhihaka kama jambo halijakupata,tupe mrejesho
 
Back
Top Bottom