Nitapata wapi plastic surgeon hapa Tanzania?

Mara nyingi Plastic surgeon hutoka nje ya inchi lakini hupitia CCBRT na wao ndio wana ratiba ya hao specialist
 
No i'm not irritated,its your life,its your choice, why hould I???...unasema waenda kufanya surgery sababu ulitiwa nyuzi vibaya,hapo hapo unataja 'physical attraction' …mnhhhhhhhhhhhhhhhhhh kusema ukweli mie nahisi unaenda kufanya surgery sababu ya (__-__)???..whatever the case its your money,do whatever pleases you...
Scars on your forehead. Hv ukiwa na scars za design hiyo u'll still be physically attractive, au cyo mama?? Wht's ur opinion??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cna uhakika! The least I know, mwishoni mwa mwaka 2017au mwaka jana mwanzon km cjakosea...CCBRT waliendesha campaign ya kuwafanyia plastic surgery akina mama na watoto under 12yrs ambao walkua na makovu yalokakamaa yaliotokana na kuungua kwa moto. Nadhan hawakulipia chchte kwajil ya huduma hii, au km walilipia ilikua ni less than robo ya gharama inayotakiwa!

Kingine nisichokijua kwny ile campaign ni kuhusu wataalam walotumika, kua walitoka nje ya nchi au walikua ni wajiriw wa CCBRT!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wameeshasepa mkuu walikuja kutufanyia majaribio ya FIELD kwenye miili ya WaDANGANYIKA
 
Scars on your forehead. Hv ukiwa na scars za design hiyo u'll still be physically attractive, au cyo mama?? Wht's ur opinion??

Sent using Jamii Forums mobile app

mnh usimkufuru Mungu,kuna watu wana kasoro/scars kila mahali from physical scars.emotional scars..etc...my opinion?? again fanya linalokupendeza,..be careful though,kama uliwekwa vibaya nyuzi,its more likely wakafanya hizo scars worse ukabaki unajilaumu...
 
Best of luck sometimes incompetent workers do the unneccessary

Sent using Jamii Forums mobile app
This is true mkuu!
Kwahy u'v found my incompetence in dealing wth 'small stuff' km ku fight wth scars?? Hahah

I've a well balanced 'software' (Akili, confidence, morals, u name the rest!) installed in my 'hardware' (body).
Nina options mbil...raising my self-esteem ili ni cope wth this situation ambayo imebadili sura ilozoeleka for almost 20+ yrs (kw uzembe wa mtu mmoja!)...au nifanye surgery kupunguza impact ya scar...

Kwan ni dhambi kufany machaguz on ur favor?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnh usimkufuru Mungu,kuna watu wana kasoro/scars kila mahali from physical scars.emotional scars..etc...my opinion?? again fanya linalokupendeza,..be careful though,kama uliwekwa vibaya nyuzi,its more likely wakafanya hizo scars worse ukabaki unajilaumu...
Here! One! Two! Three...GO! Take a ten steps walk in my shoes...

Sweet-talkers aren't my fav kind of beings. Speak the truth even if it hurts!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana aisee, mtu anaulizia plastic surgery, hujui anahitaji kwa ajili ya tatizo gani, kwa sababu mtu alishaona kuna mtu alifanya ya papuch basi anaona kila plastic surgery ni ya papuch, poor thinking capacity inatugharimu wabongo wengi
Mtoa mada nae amekosea,aseme shida yake anaweza kupata jawabu la maana.
 
Mbona mtoa mada anashambuliwa sana kuna kosa gani kijamii kufanya surgery ya aina anayotaka mtoa mada kwa mazingira aliyopata hayo madhara? Mbona wengine hufanya zaidi ya haya na watu huwa positive!

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Here! One! Two! Three...GO! Take a ten steps walk in my shoes...

Sweet-talkers aren't my fav kind of beings. Speak the truth even if it hurts!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnhhh in your little tiny head you think I have got issues with you getting surgery,,,pole we!..I hate people who comes with topic here and all they want is ‘certain answers’ .idiots!...now go and transform yourself until you look like a pig,Becky doesn’t give a damn! Watu wakikusoma kwenye hii post watajua ume over react sijui kwa nini? Ni Hilo kovu limekuacha umekuwa bitter namna hio?,,again pole!
 
I guess my tone of voice has been manifested through some txts! Too bad u got me wrong! Mi hua skasirishw na opinions, in any case!

Tell u what! Nina personalities nying sna! Je, zinanisaidia?? Ndio, znanisaidia...znanisaidia ku deal na watu km niny mnao assume emotions za third parties during covos!
Wkt nipo mtaan bila kaz, nikaomb kaz ya ulinz (nilkua nalipwa 100k kwa mwez...hapa nilijifunz kuvumilia dharau za mabek tatu na mashamba boi...nkaficha degree yng!)

Wkt nipo chuo mwka wa kwanz, nilifungua genge/duka...personality nyingne hi hapa...hapa niljfunza kuchek na kila mtu ili kujenga repeated customers!)

Taaluma yng inanitaka niwe na basic technical knowledge ya magar na vyomb vngne vy moto...nilipomaliza degree ya chuo nikaenda garage kutumwa spaner na mafund wa daras la saba...personality nyngne hi nimeiokota!

Nilipopewa u supervisor kazin, nikaanza kupata heshma ya woga kutok kw subordinates...hapa nili develop personality nyngne ili nisiwe na madhara kw subords!

Nilipoanza uwekezaj kweny Management ya Recycled Materials na kufanikiwa...nikaanza kuitw boss na umr mdogo...ikanilazim ni develop another personality ili nisije nikaonekana nimeridhka na mafanikio madogo nilo nayo!

Point ya msing...kulngana na levels za audience, I normally adjust my interactive formalities to suit the audience! So, if, in any case, the adjustment left u in anger, then I'm to b forgiven My Miss!

Nyinyi mnajuana?

mnhhhhhh...

hongera kwa gazeti...

kwa hio umeji adust personality yako kivipi humu JF?? JF sijui itakua personality ya ngapi humu..tehe tehe

...afu kuwa na multiple personalities sio jambo la kujivunia..au ulikua unamaanisha nini kusema 'personality'???

you are trying soo hard to prove that you are confident,to the point umeamua kujiboast humu...sad….the truth is you are insecured with yourself..labda ndio maana unatafuta surgery..lol….sad hamnaga surgery ya ubongo watu wa improve Akili zao heheheee...

Mwisho weka credentials zako tukujue wewe ni nani lol

mtu yeyote anaweza akaja hapa na mbwembwe kama zako,the truth is opposite..uko kwenye kibanda,jobless.lol

..dada tunaona maandishi tu huku JF...maandishi hayashtui watu...unaweza ukawa ni kipanya au kimbwa tu kinatype..LOLS
 
Back
Top Bottom