I guess my tone of voice has been manifested through some txts! Too bad u got me wrong! Mi hua skasirishw na opinions, in any case!
Tell u what! Nina personalities nying sna! Je, zinanisaidia?? Ndio, znanisaidia...znanisaidia ku deal na watu km niny mnao assume emotions za third parties during covos!
Wkt nipo mtaan bila kaz, nikaomb kaz ya ulinz (nilkua nalipwa 100k kwa mwez...hapa nilijifunz kuvumilia dharau za mabek tatu na mashamba boi...nkaficha degree yng!)
Wkt nipo chuo mwka wa kwanz, nilifungua genge/duka...personality nyingne hi hapa...hapa niljfunza kuchek na kila mtu ili kujenga repeated customers!)
Taaluma yng inanitaka niwe na basic technical knowledge ya magar na vyomb vngne vy moto...nilipomaliza degree ya chuo nikaenda garage kutumwa spaner na mafund wa daras la saba...personality nyngne hi nimeiokota!
Nilipopewa u supervisor kazin, nikaanza kupata heshma ya woga kutok kw subordinates...hapa nili develop personality nyngne ili nisiwe na madhara kw subords!
Nilipoanza uwekezaj kweny Management ya Recycled Materials na kufanikiwa...nikaanza kuitw boss na umr mdogo...ikanilazim ni develop another personality ili nisije nikaonekana nimeridhka na mafanikio madogo nilo nayo!
Point ya msing...kulngana na levels za audience, I normally adjust my interactive formalities to suit the audience! So, if, in any case, the adjustment left u in anger, then I'm to b forgiven My Miss!
Sent using
Jamii Forums mobile app