Nitapata wapi plastic surgeon hapa Tanzania?

mwanaNjilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Posts
277
Reaction score
196
Habar wana JF!

Naomba jibu kwa yeyote mwenye kufahamu hospital ambayo ina good record ya kufanya plastic surgery au hata plastic surgeon unaemfahamu ambae ana good record ya kufanya hizo surgeries (esp, LASER SKIN RESURFACING)!

Kama kuna anayefahamu hiyo hosptal/plastic surgeon aliyepo hapa Tanzania naomba kupata contacts au physical address yake au ya hospital!

Niwashukuru in advannce!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi tanzania hizi huduma zimefika??

Sent from my iPhone using JamiiForums
Cna uhakika! The least I know, mwishoni mwa mwaka 2017au mwaka jana mwanzon km cjakosea...CCBRT waliendesha campaign ya kuwafanyia plastic surgery akina mama na watoto under 12yrs ambao walkua na makovu yalokakamaa yaliotokana na kuungua kwa moto. Nadhan hawakulipia chchte kwajil ya huduma hii, au km walilipia ilikua ni less than robo ya gharama inayotakiwa!

Kingine nisichokijua kwny ile campaign ni kuhusu wataalam walotumika, kua walitoka nje ya nchi au walikua ni wajiriw wa CCBRT!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani JF siku hizi hivi vitoto au sijui vizee vipo desperate vinakera...hata ukisoma uzi hauflow.
Sana aisee, mtu anaulizia plastic surgery, hujui anahitaji kwa ajili ya tatizo gani, kwa sababu mtu alishaona kuna mtu alifanya ya papuch basi anaona kila plastic surgery ni ya papuch, poor thinking capacity inatugharimu wabongo wengi
 
Embrace uzee mkuu...
Info zikufkie ppt ulipo: Mwak huu mwez wa nane ndo fourth bday anniversary yng tngu niachane na foolish age (adolescence), meaning that I'm on my late 20s. Y niukimbie uzee?? Kwan nishaufikia??!

In fact, skuwah kufikiria kuhusu plastic surgery mpk nilipokutana na nurse alienipiga nyuz kwa kisiran mwak jana mwez wa12!
Who knows? Pengne na ww utahitaj hii huduma any time suun! Hujafa hujaumbika!

All the best

jua tu watu wanaoanzia na plastic surgery moja hawakomei hapo,soon after surgery utaanza kuona pua yako sijui sikio linahitaji plastic surgery
 
All the bast,

Men and women both respond to physical attraction. In fact, physical attraction is the first level of attraction (bitter truth!)...
Labda umefurahishwa na mwnamke mwezio alichonifanyia...jeraha la kusafisha yy kaenda litia nyuz (afu at least angefanya at best, rather it was at its worst!)..treatment plan ya doctor wke ilikua ni kusafisha na ku dress jeraha!

Afu naomba uelewe, LASER SKIN RESURFACING inawez kutumiwa na mtu mweny acne (long-term skin disease)...as long as our health servants can make mistakes on their duty, I can't see why it irritates u for anybody to correct their mistake, hasa ukizingatia sikuzaliwa na hili kovu alilonipa!

No i'm not irritated,its your life,its your choice, why hould I???...unasema waenda kufanya surgery sababu ulitiwa nyuzi vibaya,hapo hapo unataja 'physical attraction' …mnhhhhhhhhhhhhhhhhhh kusema ukweli mie nahisi unaenda kufanya surgery sababu ya (__-__)???..whatever the case its your money,do whatever pleases you...
 
Info zikufkie ppt ulipo: Mwak huu mwez wa nane ndo fourth bday anniversary yng tngu niachane na foolish age (adolescence), meaning that I'm on my late 20s. Y niukimbie uzee?? Kwan nishaufikia??!

In fact, skuwah kufikiria kuhusu plastic surgery mpk nilipokutana na nurse alienipiga nyuz kwa kisiran mwak jana mwez wa12!
Who knows? Pengne na ww utahitaj hii huduma any time suun! Hujafa hujaumbika!

Sent using Jamii Forums mobile app
pole
 
Back
Top Bottom