Nitapata wapi pikipiki hizi?

Nitapata wapi pikipiki hizi?

INSONSILE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,909
Reaction score
2,809
Pikipiki ndogo, ambayo ni conducive kwa wamama kuendesha, nimeziona sana maeneo ya Tanga kipindi nasoma. Mara nyingi kwa mbele ina tray flani ambalo unaweza kuweka some stuff kama vile umetoka sokoni. In fuel economy nzuri sana.
 
Taja model ya pikipiki upatiwe fastaa

Ova
 
Pikipiki zote zipo za muundo wa kike. Njoo kariakoo.
 
Pikipiki ndogo, ambayo ni conducive kwa wamama kuendesha, nimeziona sana maeneo ya Tanga kipindi nasoma. Mara nyingi kwa mbele ina tray flani ambalo unaweza kuweka some stuff kama vile umetoka sokoni. In fuel economy nzuri sana.
UNASHINDWA hata ku google uweke picha unaandika tu maneno?
 
Back
Top Bottom