fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,675
- 7,307
Napenda sana kufunga ndege wanaofugwa kama kasuku,mdau anayejua wanauzwa wapi anijulishe
muathu mshana hebu acha mashara kwenye genuine issues,tujokiane kwenye mambo mengineUkihitaji bundi nina vifaranga na mayai yake
😹😹 ila ankal unazingua ujue.!!Ukihitaji bundi nina vifaranga na mayai yake
Duuhmuathu mshana hebu acha mashara kwenye genuine issues,tujokiane kwenye mambo mengine