Nitapata wapi na ntazitambuaje USB charger Original?

Hizo oraimo zinpatikana wapi wakuu
Kanunue oraimo, ukiweza nunua na powerbank yake... ufurahie maisha, maana siku hizi charger og ni mchongo kuliko kiwanja...! [emoji23][emoji23][emoji23] ila hakikisha imeandikwa oraimo
 
hizo oraimo zinapatikana wapi mkuu
kama upo Dar njooo ubungo stand ya mwendokasi nikuletee ORAIMO kama umeidhamiria ORAIMO ila ukinambia nikuletee USB nzuri nayoitumia mimi..sitokuletea ORAIMO...

only 10,000Tsh na wala si zaidi ya hiyo bei.
 
unauza sh gapi mkuu
ORAIMO = 10,000
NOKIA = 10,000
AMAZON = 10,000
isiyo na jina = 15,000(hii ndo naitumia mimi) naipendea sifa yake ya Urefu na U speed wa kuchaji .
 
IMAG0662.jpeg
IMAG0661.jpeg

Pia unaweza kutafuta hizi accessories zinaitwa UGREEN ni best products hadi AMAZON zipo, zimekidhi viwango vyote vya ubora wa mashirika ya kimataifa kama FCC, etc. Pia bei yake nzuri.
 
View attachment 1100443View attachment 1100445
Pia unaweza kutafuta hizi accessories zinaitwa UGREEN ni best products hadi AMAZON zipo, zimekidhi viwango vyote vya ubora wa mashirika ya kimataifa kama FCC, etc. Pia bei yake nzuri.
vitu vyenye majina ya ajabu ajabu kama hivi ndio Beest product zangu...mimi huwa Brand inayotumiwa na kila mtu hata kama ni nzuri huwa Siichukui,natakaga vitu unique kama hivi.

Mtu ukisema ukatafute chaji yangu utazunguka k.koo nzima huipati..earphone ndio kabisaaa...Simu ndio natumia zenye majina kama makabila ya wachina.
 
duuuh we jamaa lazma utakuwa unamiliki kiwanda
 
Yep! Kitu kinaweza kuwa na jina la ajabu kikawa original. Ebu sema Ugreen uliwai kuwa nayo?
 
vitu vyenye majina ya ajabu ajabu kama hivi ndio Beest product zangu...mimi huwa Brand inayotumiwa na kila mtu hata kama ni nzuri huwa Siichukui,natakaga vitu unique kama hivi.

Mtu ukisema ukatafute chaji yangu utazunguka k.koo nzima huipati..earphone ndio kabisaaa...Simu ndio natumia zenye majina kama makabila ya wachina.
Wewe nae masifa yamezidi kama ni mwanaume jiangalie au jitadhimini upya.
Sifa utafikiri hizo product unatengeneza wewe mwenyewe.
 
duuuh we jamaa lazma utakuwa unamiliki kiwanda
similiki kiwanda mkuuu...kila mwezi wachina wananletea dukani NEW BRANDS ambazo hazipo on market tuziuze..na ndio wanaonleteaga makorokoro ya ajabu ambayo huwezi ikuta popote labda uwe na Ndugu anauza Accessories kwa JUMLA ndio utamkuta navyo..ila kama huna Usitegemeee...kuzipata

Wachina wanaziletaga wenyewe kwa wenye maduka na kuwakabidhi hasa hasa zinakuaga GIFT na bidhaa za majaribio.
 
Back
Top Bottom