Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,702
Shemeji mwendo kasi😂😂😂😂shemeji/wifi yenu anaboreka sana hadi anataka kukimbia kwa muda ye na mtoto.
Nenda Hisense watakupatia kwa mkopo.Good morning ladies and gents,
Wadau nilipata majanga ya kuibiwa TV, Friji na jiko siku kadhaa nyuma. Mimi ni mwajiriwa na kamshahara sio haba ila nikisema ninunue vitu vyote inakuwa ngumu, wapi naweza kupata mkopo wa kimoja wapo au vyote kati ya TV, Friji au jiko na nilipe kidogo kidogo kwa miezi kadhaa? hata mitatu au minne maximum.
Naweza kujichanga kidogokidogo ila najaribu kuona kama njia hiyo pia inawezekana maana shemeji/wifi yenu anaboreka sana hadi anataka kukimbia kwa muda ye na mtoto.
Asanteni
Zungukia page za used items na uhakika utapata vyote kwa bei kitonga sana. TV 32" kwenye used unaipata hadi kwa laki na nusu.Good morning ladies and gents,
Wadau nilipata majanga ya kuibiwa TV, Friji na jiko siku kadhaa nyuma. Mimi ni mwajiriwa na kamshahara sio haba ila nikisema ninunue vitu vyote inakuwa ngumu, wapi naweza kupata mkopo wa kimoja wapo au vyote kati ya TV, Friji au jiko na nilipe kidogo kidogo kwa miezi kadhaa? hata mitatu au minne maximum.
Naweza kujichanga kidogokidogo ila najaribu kuona kama njia hiyo pia inawezekana maana shemeji/wifi yenu anaboreka sana hadi anataka kukimbia kwa muda ye na mtoto.
Asanteni
Oyaa kanjiii ... Umenichekesha sanaaa!Kwahiyo mke wako anapenda Tv na jokofu kuliko anavyokupenda wewe hadi anataka kuacha🤣🤣
angemkojoza hata muda wa tv asingekuwa nao, nikirudi kwenye mada nunua kimoja baada ya kingine.Kwahiyo mke wako anapenda Tv na jokofu kuliko anavyokupenda wewe hadi anataka kuacha🤣🤣
Nakushauri acha kwanza mkeo akimbie kwa sababu mmeibiwa. Akikimbia ndo utafute hivyo vitu utanishukuru. Maana kumbe unakimbizana kukoa sababu yahuyo mkeo anayetaka kuondoka kisa tv.Good morning ladies and gents,
Wadau nilipata majanga ya kuibiwa TV, Friji na jiko siku kadhaa nyuma. Mimi ni mwajiriwa na kamshahara sio haba ila nikisema ninunue vitu vyote inakuwa ngumu, wapi naweza kupata mkopo wa kimoja wapo au vyote kati ya TV, Friji au jiko na nilipe kidogo kidogo kwa miezi kadhaa? hata mitatu au minne maximum.
Naweza kujichanga kidogokidogo ila najaribu kuona kama njia hiyo pia inawezekana maana shemeji/wifi yenu anaboreka sana hadi anataka kukimbia kwa muda ye na mtoto.
Asanteni
Namhurumia sana jamaa ameamua kuua ndoa yake DKK ya 10 ya mchezo🤣angemkojoza hata muda wa tv asingekuwa nao, nikirudi kwenye mada nunua kimoja baada ya kingine.
ushauri murua huu, Kikubwa awe na fundi mzuri wa kukagua.Zungukia page za used items na uhakika utapata vyote kwa bei kitonga sana. TV 32" kwenye used unaipata hadi kwa laki na nusu.
Jiko elfu 30 hukosi la gas ndogo lile.
Friji pia andaa laki 2 na nusu unapata zuri tu.
Tumpe muda gani kabla ya kuja kulalamika kagongewa😁Oyaa kanjiii ... Umenichekesha sanaaa!
Unasemaje?
Umenichekesha mno mkuu 😀Kwahiyo mke wako anapenda Tv na jokofu kuliko anavyokupenda wewe hadi anataka kuacha🤣🤣
Kwanini anunue inch 32 used wakati kwa laki 2 na 20 anapata mpya smart kwa hizi brands za homebase, boss, alyons, alitop, mewe na wenzao.Zungukia page za used items na uhakika utapata vyote kwa bei kitonga sana. TV 32" kwenye used unaipata hadi kwa laki na nusu.
Jiko elfu 30 hukosi la gas ndogo lile.
Friji pia andaa laki 2 na nusu unapata zuri tu.
Hapo ukishanunua vyote unajikuta inabidi ukope kusubiri salary nyingine.Ukiwa na laki saba unanunua vyote hivyo,alafu unadema mshahara si haba?