Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
Helo jf naomba kuuliza nitapata wapi mayai ya mbuni ama vifaranga vya mbuni?nataka kuwafuga!
Helo jf naomba kuuliza nitapata wapi mayai ya mbuni ama vifaranga vya mbuni?nataka kuwafuga!

ndio ninajua
Ulizia kwenye vijiji baada ya kupita Monduli kama unakwenda makuyunikwa arusha hupatikana wapi?

<br / yaani ni kwamba napenda sana kufuga wanyama jamii ya ndege na sa hv kwenye boma langu kuna ndege wote wanaoliwa na binadam nikaona ngoja nitafute na mbuni coz napenda sana ila sijui kama ni makosa kumfuga mbuni!hujajibu swali langu ujue.....

Sasa hiyo kesi utasikiliziwa na Wakili gani? Na ukijua kbs ni sawa na unahujumu uchumi. Na unajua kesi ya namna hiyo haina mdhamana? Kama umejipanga we sema tu tutakuelekeza pa kupata.

Kesi ya twiga ndo kwanza inatafutiwa Hakimu, alafu nawe unataka kuanzisha zogo jingine, ili uka..... . aya bana!!