Nitapata wapi mayai ya mbuni

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Helo jf naomba kuuliza nitapata wapi mayai ya mbuni ama vifaranga vya mbuni?nataka kuwafuga!

ndio ninajua

Sasa hiyo kesi utasikiliziwa na Wakili gani? Na ukijua kbs ni sawa na unahujumu uchumi. Na unajua kesi ya namna hiyo haina mdhamana? Kama umejipanga we sema tu tutakuelekeza pa kupata.

hujajibu swali langu ujue.....

<br / yaani ni kwamba napenda sana kufuga wanyama jamii ya ndege na sa hv kwenye boma langu kuna ndege wote wanaoliwa na binadam nikaona ngoja nitafute na mbuni coz napenda sana ila sijui kama ni makosa kumfuga mbuni!

Kesi ya twiga ndo kwanza inatafutiwa Hakimu, alafu nawe unataka kuanzisha zogo jingine, ili uka..... . aya bana!!

ongea na Ezekiel maige ukimpa mkwanja hata twiga atakupa ufuge hao mbuni ndo hata mia atakupa

nenda wizara ya maliasili na utalii pale nyerere na kawawa road utaona jengo kubwa la maliasili ingia utaonana na gamba maige mpe kitu kidogo tu utapewa maafisa wanyamapori na usafiri mpaka mapori ya serous watakukamatia hata mbuni 80 ukitaka mayai vifaranga majike majogoo ya kimbuni yote utapata hawana mwenyewe

Sasa hiyo kesi utasikiliziwa na Wakili gani? Na ukijua kbs ni sawa na unahujumu uchumi. Na unajua kesi ya namna hiyo haina mdhamana? Kama umejipanga we sema tu tutakuelekeza pa kupata.

KWANI YULE MWALE WAKILI SI KASHACHILIWA ATAMTETE WE KATAFUTE TU HAYO MAYAI

Kesi ya twiga ndo kwanza inatafutiwa Hakimu, alafu nawe unataka kuanzisha zogo jingine, ili uka..... . aya bana!!

ATAGEUZIWA KIBAO YEYE NDO KAIBA TWIGA AF YULE MWIZI HALALI ATAKUWA KITAA ANAKULA BATA! THIS COUNTRY BANA!!

Similar Discussions

Back
Top Bottom