Nitapata wapi hati ya tabia Njema Police clearance Report

Habari jf
Naomba kuuliza Nina shida na police clearance certificate! Je nitapata wapi kwa gharama ipi na inachukua muda gani??

Makao makuu ya police ndio pale Central au msaada jamani
Nenda Central police iliyo karibu nawe utapata utaratibu mzima hasa ofisi ya OCD.
Ukiwa na kabahasha ndo kabisaaa.... kila la kheri mkuu.
 
Nashukuru Sana!
Kabahasha ka Nini mkuu! Naomba unitoe tongotongo
 
Nenda kituo kikuu cha polisi utapata muongozo lkn kuna malipo ya serikali nadhani ni sh elf20 utaenda kwenye ofisi za afisa mpelelezi wa mkoa utachukuliwa alama za vidole then utapewa karatasi yako iliwekwa saini na uyo Afisa, nimeeleza kwa uelewa wangu mwingine anaweza kuongezea
 
Sawa Nashukuru Sana
 
Inalipiwa buku jero au buku 2 tu!

Kwa Dar nenda Mambo ya Ndani pale karibu na Exim Bank na ONAMO hotel...

Hiyo buku jero au buku 2 iwe kwa simu ukipewa Control number unalipia.

Hapo Mambo ya ndani hicho kitengo kiko kule nyuma ya Ofisi kwenye yale Magofu magofu.
 
Sasa mkuu niende central kwa hapa Dar es salaam au niende wizara ya Mambo ya ndani?
Nenda mambo ya ndani,ila utaambiwa usubiri wiki mbili kuipata,kuna malipo kifogo.
Kama uliwahi kufanya msala acha tu utaletewa majibu positive
 
Nenda kituo kikuu cha polisi utapata muongozo lkn kuna malipo ya serikali nadhani ni sh elf20 utaenda kwenye ofisi za afisa mpelelezi wa mkoa utachukuliwa alama za vidole then utapewa karatasi yako iliwekwa saini na uyo Afisa, nimeeleza kwa uelewa wangu mwingine anaweza kuongezea
Uko sahihi..lazima alama za vidole zipelekwe ili kujua hujapatikana na kosa la jinai. Majibu yakija unapata hiyo hati..

Depal njoo uchangie huku.
 
Nenda kituo kikuu cha polisi utapata muongozo lkn kuna malipo ya serikali nadhani ni sh elf20 utaenda kwenye ofisi za afisa mpelelezi wa mkoa utachukuliwa alama za vidole then utapewa karatasi yako iliwekwa saini na uyo Afisa, nimeeleza kwa uelewa wangu mwingine anaweza kuongezea
Kiuhalisia hizo alama za vidole zikishachukuliwa kwenye ofisa za upelelezi mikoani/ wilayani hupelekwa Dar kuchekiwa kwenye kanzidata ya alama za vidole. Iwapo hazijamatch na za mhalifu yeyote ndipo hati huandikwa na kupelekwa mkoani/wilayani ili apewe mhusika.
 
Inalipiwa buku jero au buku 2 tu!

Kwa Dar nenda Mambo ya Ndani pale karibu na Exim Bank na ONAMO hotel...

Hiyo buku jero au buku 2 iwe kwa simu ukipewa Control number unalipia.

Hapo Mambo ya ndani hicho kitengo kiko kule nyuma ya Ofisi kwenye yale Magofu magofu.
Mkuu Kama unahitaji kwa haraka Kuna chochote kitu natakiwa kutoa?? Yani mkono wa nyuma.

Mana Ina haraka sanaa
 
Hapo Sielewi sasa Nenda Jumatatu weekend hawafungui.

Kuna mtu alienda Juzi ikamchukua siku moja tu kuipata.
 
Back
Top Bottom