Im born again,ila kazi ipo!
Nimekuwa na mpenzi wangu kisha kuwa wachumba kwa muda wa miaka 7 wakati tupo kwenye mchakato wa ndoa alifariki ghafla kwa ajari,niliskitika sana na ilinichukua muda kufikilia kuoa,sasa ni mwaka wa tatu tangu kifo chake.Roho kiasi imetulia natafuta mke mwema wa kuoa.
Awe mcha Mungu Mkristo
awe anajua kuchanganua mambo-msomi kiasi kuanzia diploma na kuendelea
Awe mpenda maendeleo.
mwenyenia hiyo aweza kujitokeza tuanze mchakato wa maisha ya pamoja kama tukiridhiana.
Umenipata mkuu... Hebu tangaza nia fasta!!!!!
Je kuna jambo gani lililogumu la kumshinda Bwana?,pia ni vema kuwashirikisha waombaji unaowaamini maana jambo huthibitishwa kwa ushahidi wa watu watatu.