Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,242
hapo kwenye RED ndo wanafanyaje? ni kwamba unamwomba tu Bwana akuletee nyumbani au unamwomba Bwana huku unatafuta akuonyeshe yupi ni bora kwako?
haya maandiko wakati mwingine tunayazungumza bila kuyaelewa.
All the best BIREGU, katika tafuta yako mwombe na Mungu akufunulie
Yani haya maandiko kila mtu anajipindishia kwake..Utafikiri imeandikwa mke mwema utampata kanisani kwa kakobe au kwa mtume na nabii..Hao wanaenda kanisani haohao wapo hapa Jf..
BIREGU tulia na kila baraka iwe nawe umpate wa kufanana nawe popote pale Mungu atakapokukutanisha nae
Last edited by a moderator: