asante karibu nawe pia
napenda sana mwanamke anayependa sana asili yake,nitaelewana naye sana maana naamini kuwa kuna kitu kinachomfanya abaki tu na asili yake
Kila la kheri kaka... Umeenda opposite na wenzio,wanaume wengine wanamuona huyo kama mshamba...
yapo mengi yanashindikana
Hi
Sifa za mwanamke natural ana nywele asili, hajichubui, anavaa kiheshima, anajitambua, mpenda dini, anayejua thamani yake, tabia nzuri, hachagui mazingira wala chakula, yaani nitadata and i will risk time and life for her, ila hawa ambao ni vinyago wa mpapure wapige tu ruti town kwanza nawadharau.
Ila kujiremba kidogo si mbaya..tatizo wanawake wengi sikuhizi hatujirembi bali tunajibadilisha kabisaaa... Ndo utakuta michubuo,kope za bandia,kunyoa nyusi zote,lace wig,eye contact lens...mtu akiviweka vyote kwa pamoja unamsahau... Hiyo si nzuri..mjanja ni yule aliyeona gharama na athari za cosmetics na kutozitumia ila mshamba ni yule aliyeiga na kukurupuka na kujikuta mtumwa kwenye vitu ambavyo ni really useless